Nahisi kuchanganyikiwa

Nahisi kuchanganyikiwa

Utakuwa muha wewe maana unapenda kubishana unachokiamini wewe ndio wataka kiwe basi Sawa
Mm sio muha lakni ngoja wanajf waamke waje wakupe ukweli mchungu

Ulimuacha mchizi kwa kumuona boya umepata mubaba anahela na handsome sasa pambana acha kulialia

No mercy
 
Siwezi kwakweli kila nikiwaza saivi amelala na mwanamke wake anafuliwa na mwanamke wake anapikiwa wanacheka pamoja wanafurahi huku mimi nateseka na baridi peke yangu Roho inaniuma najawa na wivu naogopa sana kuendelea nae

Japo ameniumiza sana kwa kunidanganya wakati wote huo
Hayo mawazo ndiyo yanayokutesa...ishi sasa,maisha ni sasa cute...kama ni wakukuachs angekuacha hata angekuwa hana mtu mwingine zaidi yako...ishi muda huu, furahia muda huu
Nothing is permanent
 
Hayo mawazo ndiyo yanayokutesa...ishi sasa,maisha ni sasa cute...kama ni wakukuachs angekuacha hata angekuwa hana mtu mwingine zaidi yako...ishi muda huu, furahia muda huu
Nothing is permanent
Ushaurii ni mzurii kuuleta kwenye vitendo sasa ndio shida inapoanzia

Nitajitahidi
 
Mm sio muha lakni ngoja wanajf waamke waje wakupe ukweli mchungu

Ulimuacha mchizi kwa kumuona boya umepata mubaba anahela na handsome sasa pambana acha kulialia

No mercy
Wewe nae umekazana kwaiyo unafikiri kila mtu alipita hiyo njia unayosimulia
Unaonekana una hasira na ex wako aliekuacha kisa mubaba

Na mimi sitembeagi na wababa period

Na huyu naemzungumzia sio mubaba ni kijana tu hata 32 hajafika ndio kwanza ana pambana na maisha yake na wala hajajipata kusema ana mihela bado anaaso

So punguza ujuaji maisha ulioyopitia sio wote hupitia

Nikazie ana sura nzito niliamini hata wanawake wangekuwa wanamkataa mimi nimgande tu hana huo u handsome
 
Endelea kuteseka sometimes mnaringa sana kuwa mchepuko hivyo hivyo na uendelee kupimiwa mapenzi utahitajika siku ya kulombwa peke yake shubamiit!!!
 
Acha kubisha maana hujawai kuwa mwanamke
Mimi mwanamke nakuambia wanawake single wapo wengi na wenginee wanaweza maliza mwaka hata mwanaume hajawai kutongozwa nae
Ndo wale mnaotongozwa afu mnajifanya nina mtu wangu. Wakati ukionjeshwa mboro unanogewa afu ukiulizwa yule mtu wako vp au nikuache umfate, unaanza kuning'ang'ania Tena wakati ulishasema una mtu wako

Yani wanawake hamueleweki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom