Nahisi kuchanganyikiwa

Nahisi kuchanganyikiwa

Siwezi kwakweli kila nikiwaza saivi amelala na mwanamke wake anafuliwa na mwanamke wake anapikiwa wanacheka pamoja wanafurahi huku mimi nateseka na baridi peke yangu Roho inaniuma najawa na wivu naogopa sana kuendelea nae

Japo ameniumiza sana kwa kunidanganya wakati wote huo
Pole mkuu huna budi kufanya maamuzi yenye faida kwako
 
Siwezi kwakweli kila nikiwaza saivi amelala na mwanamke wake anafuliwa na mwanamke wake anapikiwa wanacheka pamoja wanafurahi huku mimi nateseka na baridi peke yangu Roho inaniuma najawa na wivu naogopa sana kuendelea nae

Japo ameniumiza sana kwa kunidanganya wakati wote huo
Tafuta nawe jamaa mwingine wa kukuliwaza?
Dunia ina watu wengi hii, unakwama wapiii?
 
Miezi 8 hujui kama ameoa au lah na bado unasema unampenda na unataka mfunge ndoa. ?? In short jamaa hatamwacha mke wake kwa ajili yako, na pale akili ikikukaa vizuri utakuja kugundua umetumika tu. Toka kabisa hapo kwenye hayo mahusiano uanze upya.
 
Uzuri unajua kuwa hakuna mtu yuko single, kikubwa ni kupambana wewe ndo uwe main chick, sasa hapo angalia utatumia maujanja gani upande chart,

Hata ukimuacha huyo jamaa ukienda sehemu nyingine utaanzia level hiyo hiyo ya mchepuko, baadaye kiwango kikipanda unakua main chick
Huwezi kusajiliwa na kuanza moja kwa moja lazima utokee bench
 
😂😂😂😂😂
 
Ndio nataka namna ya kutoka nimeshajaribu njia zangu mimi nimeonaa nimeshindwa najikuta narudi pale pale
 
Nimeshajaribu ila najikuta nakuwa nina hasira nakua mkali mno yaani namna sijisikii kuwa na mtu mwinginee
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
downloadfile.jpg
 
Uzuri unajua kuwa hakuna mtu yuko single, kikubwa ni kupambana wewe ndo uwe main chick, sasa hapo angalia utatumia maujanja gani upande chart,

Hata ukimuacha huyo jamaa ukienda sehemu nyingine utaanzia level hiyo hiyo ya mchepuko, baadaye kiwango kikipanda unakua main chick
Huwezi kusajiliwa na kuanza moja kwa moja lazima utokee bench
Inategemea na level ya mahusiano waliofikia watu wameshazaa wanakaa wote wameshalipiana na mahari unawezaje kuwaachanisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom