Nahisi kuchanganyikiwa

Nahisi kuchanganyikiwa

Hebu tuambie kwanza ni nani unampenda milele?
 
Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa

Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo

Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu

Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali

Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyuma😔

Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi 😢
Pole sana vinauma kiukweli hasa ukiwa umempenda mwanaume kidhati! Km ni waislamu pangeni akuoe mke wa pili! Nyote mtakuwa mnahaki ya mume wenu!
Km ni wakristo basi Imani itawabana! Sema na moyo wako jikaze kuachana nae! Muombe Mungu atakupa aliesahihi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom