Nahisi kuchanganyikiwa

Nahisi kuchanganyikiwa

Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa

Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo

Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu

Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali

Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyuma😔

Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi 😢
Njoo kwangu mimi ambaye nimetoka kuachwa juzi tu hapa na mdada niliyekutana naye humu humu jukwaani. Nilimpenda kweli, ila ghafla tu akaniambia eti hanitaki kwa sababu ninamfanyisha mazoezi makali sana, na huu uzee wangu.
 
Itachukua muda. Kwa sasa anza kwa kubadili hiyo ID. Badala ya kujiita Nampenda Milele jiite Nitapenda Tena. Ni hatua ndogo lakini ni mindset shift. Lizingatie hili!
 
Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa

Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo

Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu

Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali

Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyuma😔

Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi 😢
Jiulize kwanza what's soo special about him???
Najua sio mara yako ya kwanza wala ya pili kunyanduliwa,,,,,sasa juulize ni vitu gani vinakufanya uwe attached naye sana,,,kama ni caring na affections,,,ama ni pesa zake,,,ama ni the way alivyokuwa ana kukunja,,, whatever
Then anzia hapo,,,,,!!!!ku move on
 
Kwaiyo mimi ndio niishie kuliwa tu mkuu mwisho wa siku na mimi nataka nitengenezee familia yangu
Kwani huyo ukimpa siku za hatari hamuwezi kupata watoto mkajenga familia? Hapo kuwa makini mpime Kama hatakimbia majukumu ya kulea.
Kuna wakati inabidi ukubali tu kuwa katika mahusiano ya mume mmoja wanawake wawili au zaidi.
Wanawake wengi kuliko wanaume. Pia mwanamke hatongozi anatongozwa hivyo hana Uhuru sana wa chaguo zake.
Unafikiri wake wa Daudi, Solomon(sulemani), Yakobo (Yakub), Muhammad (S.A.W) walikuwa wajinga siyo akili kubwa kuliko wewe kukubali kuwa wake wa ndoa ya wake wengi. mume mmoja?
 
Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa

Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo

Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu

Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali

Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyuma😔

Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi 😢
Vijana single wanaojielewa wapo kibao ila kila siku kujibanza kwa waume za watu.
Ujinga mtupu
 
Kaa nae kubalianeni ratiba na mke mwenzio isitoshe hakuna mwanaume wa kwako hata huko utakapoenda nae atakuwa na mwanamke wa pembeni na labda wewe ndio utakuwa mke mkubwa. Wanaume huwa tunakuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ili kukonga nafasi. Utakuja kunishukuru siku moja
 
Wewe nae umekazana kwaiyo unafikiri kila mtu alipita hiyo njia unayosimulia
Unaonekana una hasira na ex wako aliekuacha kisa mubaba

Na mimi sitembeagi na wababa period

Na huyu naemzungumzia sio mubaba ni kijana tu hata 32 hajafika ndio kwanza ana pambana na maisha yake na wala hajajipata kusema ana mihela bado anaaso

So punguza ujuaji maisha ulioyopitia sio wote hupitia

Nikazie ana sura nzito niliamini hata wanawake wangekuwa wanamkataa mimi nimgande tu hana huo u handsome
Sema komaa ww😄😄
 
Mwanaume kapewa uwezo wa kumiliki zaid ya ke mbili.....

Kama unaona anauwezo huo.....jiamini chagua ukae upande gani kulia au kushoto...mbele au nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom