Nahisi kuchanganyikiwa

Nahisi kuchanganyikiwa

Kwani huyo ukimpa siku za hatari hamuwezi kupata watoto mkajenga familia? Hapo kuwa makini mpime Kama hatakimbia majukumu ya kulea.
Kuna wakati inabidi ukubali tu kuwa katika mahusiano ya mume mmoja wanawake wawili au zaidi.
Wanawake wengi kuliko wanaume. Pia mwanamke hatongozi anatongozwa hivyo hana Uhuru sana wa chaguo zake.
Unafikiri wake wa Daudi, Solomon(sulemani), Yakobo (Yakub), Muhammad (S.A.W) walikuwa wajinga siyo akili kubwa kuliko wewe kukubali kuwa wake wa ndoa ya wake wengi. mume mmoja?
Duuh wewe jamaa maisha magumu siku hizi watu hawataki kulea familia mbili
 
Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa

Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo

Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu

Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali

Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyuma😔

Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi 😢
Njoo ofisini tuzungumze
 
Pole sana kama umri unaruhusu tafuta mwingine move on
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom