Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,411
- 3,203
Banana humohimo, mwambie akuoe
Mpaka sasa hajanifata pm, shauri zake mwache aendelee kuumia wakat mwenzake huko anapata rahaHapo sasa, em changamkeni bas, 😂😂😂😂
Nitajie sifa za mwanaume unaetaka kuwa nae nikushauri kitu..Kuna wakati unatamani ule hayo maisha na mtu unaempenda
😂😂😂😂😂Mpaka sasa hajanifata pm, shauri zake mwache aendelee kuumia wakat mwenzake huko anapata raha
dah we hata uki kolewa kwenzi, lazima ulipize😂😂Wallah nataka nimsaidie huyu mwenzangu, awe na huyo jamaa kipenzi chake.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 afu sina kisasi, ni mtu poa mno, ila nikikasirika, nakua mwingine kabisaa.dah we hata uki kolewa kwenzi, lazima ulipize😂😂
Una nitisha tatizo, we mwanamke gani una penda ugomvi kama sherehe😂😂😂😂😂😂 afu sina kisasi, ni mtu poa mno, ila nikikasirika, nakua mwingine kabisaa.
😂😂😂😂😂
Sipendi ugomvi, ila ukiniletea nautaka na naupokea kwa mikono yote.Una nitisha tatizo, we mwanamke gani una penda ugomvi kama sherehe😂😂
"Ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli"
sema hunaga noma, labda uamue kuki nukisha tu😂😂Sipendi ugomvi, ila ukiniletea nautaka na naupokea kwa mikono yote.
Kifuatacho ni furahisho tyuuh. 😂😂😂😂😂
Huwa siamui mie, wenyewe wananiamulia, sasa nifanyejee?sema hunaga noma, labda uamue kuki nukisha tu😂😂
Sema ukweli, huwa una tamani waku chokoze tu🤔🦅Huwa siamui mie, wenyewe wananiamulia, sasa nifanyejee?
Mie ni utekelezaji tyuuh, 😂😂😂😂😂
Sasa kwanini wanichokoze na wao? Si wakaushee tyuuh.Sema ukweli, huwa una tamani waku chokoze tu🤔🦅
Vurugu tupu, ngoja ninywe chai maana nime chelewa kuamka.Sasa kwanini wanichokoze na wao? Si wakaushee tyuuh.
Au wee unaonajeee? 😂😂😂😂😂