Nahisi kuchanganyikiwa

Nahisi kuchanganyikiwa

Story hazifanani mkuu usifikiri kila mtu alipitia njia aliopitia ex wako
Wenginee tulikuwa single tunajilia maisha tukaja danganywa
Hakuna mwanamke yuko single, maana Kila mwanamke lazma atongozwe, na wengi mnakimbilia Kwa waume za watu sababu tyari walishajitafta na wake zao skunyingi kwahiyo mnataka mtelezo tuuu.

Ila Kwa mwanaume kuwa single ni kawaida sana Tena Wapo wengi maana mwanaume hatongozwi, anatongoza.
 
Acha kubisha maana hujawai kuwa mwanamke
Mimi mwanamke nakuambia wanawake single wapo wengi na wenginee wanaweza maliza mwaka hata mwanaume hajawai kutongozwa nae
 
Halafu baadae nae nigundue ni wa mtu niumie hivi hivi
Mbona hilo suala tayari wewe umeliweka kifalsafa vizuri kabisa, nakunukuu:-

"hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu"'

Kama huo ndo ukweli wenyewe una wasiwasi gani tena?

Wacha uoga bhana..
Em njoo kwanza inbox tuyajenge unitoe kwa mtu chap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom