Nahisi kuachwa msaada wa mawazo tafadhali

Nahisi kuachwa msaada wa mawazo tafadhali

Hebu nipatie namba yake coz mm nipo hapa moro
 
Hamna kitu hapo,BOC anagegeda we unalia..angalia ustarabu mwingine.
 
Nataka kumuacha baada ya kuona mawasiliano yamepungua
 
Mhh ushalizwa mjin hapa...kiufupii go on wth yoh lifee...hamna penz tena!
 
Mimi niliposoma heading nilijua ni ke kumbe me duh.
 
We kimbuzi kata kamba. Simu hapigi,ukipiga kupokea shiiidaa, haji Dar kukutembelea, naye hataki uende Moro.Hata kama kusoma hujui,hata picha huioni? Graduate,kaajiriwa bado anamwogopa kaka kuhusu mahusiano yake? Hizi shule!!
 
Last edited by a moderator:
Yaan kanihuzunisha sana wanawake Ndo walivyo ukiwapenda wanakuona ----- ukiwasnitch wanakuona ---- Yaan ni majanga
 
mmmmh kiongozi usijaribu kumwacha msichana kama unampenda huwa watu wakiwa mbali mambo kama hayo niya kawaida sana, chakufanya zidisha kumpenda na kumsumbua kwenye mawasiliano atajifunza tu na uwe unakusanya mkwanja na kwenda kumtembelea mara kwa mara na ruhusa unamwomba yeye then umueleze unavyoteseka kwa yeye kuwa mbali na wewe. Simu utaimba sana ila hali itajirudia tu udhaifu wa hawa viumbe ni ana kwa ana tu na unamweleza huku ukiwa unamwangalia kwenye macho you will know kweli kama huyu still anakupenda au vipi. Ikishindikana usimwambie chochote na wewe kata mawasiliano akiwa kimya au kutokulalamikia ujue atakuwa keshapata wa kumweka bussy.
 
Naamini ukishamfanyia suprise hutamuomba muachane
 
Pole mkuu, jipe moyo, fanya uchunguzi utabaini ukweli. But nakupa pole sana maana MATESO hayo ninayajua vema! Usiombe uzinguliwe na uliyemjaza moyoni wandugu zangu!
 
Skiliza,, delete namba yake, ukipata ham ya kumpigia jizuie jichanganye na washkaj jitreat vizuri, akipiga usipokee,, baada ya wiki 3 utamsahau, trust me hamna kitu hapo usinganganie
Hivi unaujua MOYO wewe! Mmmmhhh sikia kwa jiran tu omba yasikukute mkuu!
 
Wadau nawashukuru sana kwa mawazo yenu nitayafanyia kazi ni kweli ni vigumu sana kwa mwanaume kulalamika kuhusu issue za kuzinguliwa na mwanamke lakini Ndo ivo mapenz hayachagui
 
Mahusiano ya mbali nayapinga kwa nguvu zote, eti mtu yupo marekani we upo tz muwe kwenye uhusiano, aaah••~|
...ukiona mwenzako anakukwepa, hajibu kwa wakati, hakupigii, haonyeshi kukumisi...huna haja ya kuomba muachane....
 
Hey brother,..it's better to be strong than pain...You think about HER!!!!BUT she doesn't think about YOU...hey ma man you can't be fool like that Haah....don't you know that wewe ni Kama madini yenye thamani kubwa hapa duniani??!!!!...sasa unabembeleza nini makaa ya mawe!!!!...
"You kill the night keep thinking about HER....But SHE kill the night dreaming and deep sense of the beaut of the new.......


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom