Nahisi kuachwa msaada wa mawazo tafadhali

Nahisi kuachwa msaada wa mawazo tafadhali

Habari wanajamvi, naongea kwa masikitiko makubwa sana na naombeni msinihukumu bali mnipe msaada wa mawazo ni hivi nina girlfriend wangu tulikuwa tunaishi wote dsm yeye akiwa kwao na mimi nikiwa kwangu tulikuwa tunapendana sana coz wote tulimaliza chuo mwaka mmoja sasa akapata kazi moro toka ameondoka mawasiliano yakawa ya shida sms anachlewa kujibu ukimmuliza anadai yuko busy na kazi mara nyingine hata simu hapokei mm nikadhani labda ni issue za kazi lakini cha kushangaza hatawikend pia mawasiliano bado niyashida nikajikaza mtoto wa kiume kwa muda kama 2 months ivi, nikaona nimmulize kulikon akasema hakuna tatizo nikamuomba ajirekebishe coz i believe long distance without concrete communications ni majanga... anabadilika siku mbili tatu then anarudi mulemule nimemuomba tuachane ili atleast nitafute ustaarabu mwingine bado hataki ila bado nampenda sana nimemwambia nataka nimuoe abadili tabia lakini bado haelewi naombeni msada wenu wa mawazo please
ameshampata wa kumpa kiburi ndugu,hebu nenda moro ukaongee nae vizuri kama bado unampenda ila kama ni staki nataka achana nae
 
Poleee.... Hakuna mwanamke asiyependa kuwasiliana na mpenzi wake.. Ni raha sana.!!

Ukiona tuu hafurahishwi na mawasiliano na wewe, mara visingizio kibao ujue kuna namna.... Chunguza...!!
 
Habari wanajamvi, naongea kwa masikitiko makubwa sana na naombeni msinihukumu bali mnipe msaada wa mawazo ni hivi nina girlfriend wangu tulikuwa tunaishi wote dsm yeye akiwa kwao na mimi nikiwa kwangu tulikuwa tunapendana sana coz wote tulimaliza chuo mwaka mmoja sasa akapata kazi moro toka ameondoka mawasiliano yakawa ya shida sms anachlewa kujibu ukimmuliza anadai yuko busy na kazi mara nyingine hata simu hapokei mm nikadhani labda ni issue za kazi lakini cha kushangaza hatawikend pia mawasiliano bado niyashida nikajikaza mtoto wa kiume kwa muda kama 2 months ivi, nikaona nimmulize kulikon akasema hakuna tatizo nikamuomba ajirekebishe coz i believe long distance without concrete communications ni majanga... anabadilika siku mbili tatu then anarudi mulemule nimemuomba tuachane ili atleast nitafute ustaarabu mwingine bado hataki ila bado nampenda sana nimemwambia nataka nimuoe abadili tabia lakini bado haelewi naombeni msada wenu wa mawazo please

ukiona manyoya ujue keshaliwa.........busara itawale na mungu akupe nguvu ya kufanya maamuzi magumu.
 
Skiliza,, delete namba yake, ukipata ham ya kumpigia jizuie jichanganye na washkaj jitreat vizuri, akipiga usipokee,, baada ya wiki 3 utamsahau, trust me hamna kitu hapo usinganganie
 
Hapo umenena dada nahisi naibiwa coz mwanzon Ilikuwa ni ugomvi nisipojibu sms zake au kupokea cm zake
 
mtafutie msaidizi!" akiwa peke yake utashindwa kufanya mambo yako ........
 
just try to get her back till the moment unaona imeshindikana kabisa,leave her,feel thankful atlst u have a heart na unaweza kupenda,nimegundua huwezi mforce mtu akupende hata siku moja
 
Kwa huo uandishi lazimaaa uachwe. Kwa sababu kichwa cha habari umesema unahisi kuachwa katika maelezo unasema ulimwambia muachane.Sasa hapo unahisi kuachwa kivipi.
 
Unahisi kuachwa, unampenda, ulimwambia muachane afu unataka kumuoa!
 
watu tunatofautiana, kama mimi nikikabwa na mambo mpenzi wangu miezi miwili kunipa space mbona inawezekana, afu mkisema yuko mbali muongee kila siku mtaongea nini hicho kila siku kwenye simu, tory hua zinanoga kama ni live ila kwenye simu kuchoshana tu mwishowe mtaanza kuandikiana umevaa nguo ya rangi gani.. mpe space mtoto, afu dar moro unasema long distance, hahaha hapo kwenda fasta tu na kurudi tena siku hiyohiyo... long distance waache walalamike wale ambao moja yuko japan mwingine yupo silicon valley
 
mkuu niko kazini siwezi kukaa 2 weeks nilijaribu kumconviece pia niwe naenda wikend anakuwa na excuse kibao mara kaka hapendi nitoke bla bla kibao
ukiona manyoya??????????

hamna mapenzi tena hapo...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom