Nahisi kuachwa msaada wa mawazo tafadhali

Nahisi kuachwa msaada wa mawazo tafadhali

Wanawake wakipata mtu mwingine huwa haina kurudi nyuma, chukua 50 zako ondoka. Nimeona mara nyingi, ni bora mwanaume anaye-cheat anaweza akafanya na jioni akarudi kwa mpenz wake lakini mwanamke akishonja harudi tena.

Ukiona madam hajali kuhusu mawasiliano ujue kuna mtu anam-keep busy huko, mara nyingi kwenye stable relationship, ni wanawake ndio wanakuwa mstari wa mbele kwenye mawasiliano. Akianza kutojali, basi ujue there is something not right. Unaweza kushuka tu, usisubiri uambiwe shuka au mwisho wa safari.
 
Habari wanajamvi,

Naongea kwa masikitiko makubwa sana na naombeni msinihukumu bali mnipe msaada wa mawazo ni hivi nina girlfriend wangu tulikuwa tunaishi wote Dsm yeye akiwa kwao na mimi nikiwa kwangu tulikuwa tunapendana sana sababu wote tulimaliza chuo mwaka mmoja sasa akapata kazi moro toka ameondoka mawasiliano yakawa ya shida sms anachlewa kujibu ukimmuliza anadai yuko busy na kazi mara nyingine hata simu hapokei mimi nikadhani labda ni issue za kazi lakini cha kushangaza hatawikend pia mawasiliano bado niyashida nikajikaza mtoto wa kiume kwa muda kama 2 months hivi, nikaona nimmulize kulikoni akasema hakuna tatizo nikamuomba ajirekebishe sababu I believe long distance without concrete communications ni majanga... anabadilika siku mbili tatu then anarudi mulemule nimemuomba tuachane ili atleast nitafute ustaarabu mwingine bado hataki ila bado nampenda sana nimemwambia nataka nimuoe abadili tabia lakini bado haelewi naombeni msada wenu wa mawazo please
Uandishi gani huu jamani. Hakuna nukta, koma wala alama nyingine yoyote. Hivi ndo elimu imeshuka kiasi hiki?
 
Wala huitaji kuuliza hapa, huyo girlfriend ameshakuchoka hakutaki na kuna mwingine. Kwa mwanamke si rahisi sana kama anakupenda kuacha mawasiliano kwa kuwa wako delicate sana. Hivyo basi tulia, chukua muda wa kutosha kutafakari na mwombe Mungu akupe mwingine. Ila sasa kawaida utakuwa kuna mtu anamsikilizia na anaona ni bora kuliko wewe, sasa huwa wengi ninaona wanapenda kushikilia kwa awali huku wakijaribu kina cha maji mengine, hivyo unakuwa unadanganywa mara hivi mara vile ili kina kikiwa sicho arudi tena kwa speed!!! Cha msingi ukishaamua basi na iwe basi na akirudi reverse kwa speed ya 220 mwambie stooooop endelea.
 
jiandae kisaikolojia kaka nashauri uumpe nywele usije kumpa moyo atakuumiza sana mpe hizo nywere kama akikuzingua unanyoa nywele unasonga mbele.
 
Pole sana! Pia hongera kwa uvumilivu wa hali ya juu.Huyo anakuchezea sindimba,nakushauri uachane nae kabla hujakutana na makubwa zaidi.Atakufanya uwachukie wanawake wote na kudhani wote wako kama yeye.MPE RED CARD MAPEMAAA!
 
Ngoja nikwambie kaka yangu, mtu kama mnapendana na mkiwa mbalimbali ndio mapenzi huzidi sababu kila mmoja anammiss mwenzake.
Huyo huko atakuwa kishapata mtu anayemuweka busy, Moro si mbali mshtukize nenda. Pia huenda penzi liko upande mmoja kwamba ni wewe ndio unampenda sana, yeye anapotezea tu. Ukiona vipi nawe mpotezee tu kama anakupenda kweli atakutafuta na kijirekebisha.
 
mkuu niko kazini siwezi kukaa 2 weeks nilijaribu kumconviece pia niwe naenda wikend anakuwa na excuse kibao mara kaka hapendi nitoke bla bla kibao

Moro ni karibu sana hebu jaribu kufanya suprise wikend moja uone jeuri yake iko wapi........
 
I pity you my brother, sio kwasababu ya matendo ya huyo girlfriend wako but because of your own indecisiveness, eti unasema "nimemuomba tuachane ili atleast nitafute ustaarabu mwingine bado hataki ila bado nampenda sana nimemwambia nataka nimuoe abadili tabia lakini bado haelewi naombeni msada wenu wa mawazo please". Sasa ww unajijua huna jeuri ya kuachana naye kisa cha kuomba muachane ni nn?! Ebooo!

Halafu bana watu wengine matatizo mnajitakia wenyewe, kapata kazi Morogoro ww upo Dar, unaona tatizo gani kutembeleana every weekend jamani? Relationships are not rocket science, it all depends on how you decide to perceive it. Sasa ww baki ukilalama eti unahisi kuacha usichukue hatua za msingi nakwambia utachukuliwa hivi hivi unajiona! Be a man and step up your game! You want her in your life then prove it! Stop giving her ultimatums, eti abadili tabia ndo umuoe, some men!

I lv u miss kim........ well said my dia maana miye niko mbali naye mapnz teleee cna hata wazo la kuchepuka.
 
We kimbuzi kata kamba. Simu hapigi,ukipiga kupokea shiiidaa, haji Dar kukutembelea, naye hataki uende Moro.Hata kama kusoma hujui,hata picha huioni? Graduate,kaajiriwa bado anamwogopa kaka kuhusu mahusiano yake? Hizi shule!!

Nimechekaaaaaaa.....lol
 
Last edited by a moderator:
Hey brother,..it's better to be strong than pain...You think about HER!!!!BUT she doesn't think about YOU...hey ma man you can't be fool like that Haah....don't you know that wewe ni Kama madini yenye thamani kubwa hapa duniani??!!!!...sasa unabembeleza nini makaa ya mawe!!!!...
"You kill the night keep thinking about HER....But SHE kill the night dreaming and deep sense of the beaut of the new.......


Sent from my iPhone using JamiiForums

Usicheze na MOYO
 
Habari wanajamvi,

Naongea kwa masikitiko makubwa sana na naombeni msinihukumu bali mnipe msaada wa mawazo ni hivi nina girlfriend wangu tulikuwa tunaishi wote Dsm yeye akiwa kwao na mimi nikiwa kwangu tulikuwa tunapendana sana sababu wote tulimaliza chuo mwaka mmoja sasa akapata kazi moro toka ameondoka mawasiliano yakawa ya shida sms anachlewa kujibu ukimmuliza anadai yuko busy na kazi mara nyingine hata simu hapokei mimi nikadhani labda ni issue za kazi lakini cha kushangaza hatawikend pia mawasiliano bado niyashida nikajikaza mtoto wa kiume kwa muda kama 2 months hivi, nikaona nimmulize kulikoni akasema hakuna tatizo nikamuomba ajirekebishe sababu I believe long distance without concrete communications ni majanga... anabadilika siku mbili tatu then anarudi mulemule nimemuomba tuachane ili atleast nitafute ustaarabu mwingine bado hataki ila bado nampenda sana nimemwambia nataka nimuoe abadili tabia lakini bado haelewi naombeni msada wenu wa mawazo please

kimbuzi pole sana act like man bhana...ivi unajua maana ya PEACE OF MIND?angalia nilipoweka rangi ya blue hayo yote ni matatizo. Kwann ukae kwenye mahusiano ambayo hayakupi furaha still unashindwa kutumia akili kuamua unatumia hisia??kwann unaomba muachane??kma unaona hataki kubadilka ni bora uachane nae kwa ajili ya aman yako??je hujui mapenzi ni kisiwa cha upendo japo kuna upepo wa kutokuelewana kwa kutofautiana kauli..mawasiliano ni muhimu sana mkuu

kama bado unampenda,you cant let it go...u ar nt ready to say goodbye...FUNGA SAFARI nenda moro kaa nae one week kuwa mdadis sana ila usimwambie umekwenda kumchungza,utajua ukweli kama ana mwanaume mwingine

NOTE; Ukiona kwenye uchumba kuna matatizo usitegee kwenye ndoa kutakuwa na aamani ...usiendelee kulazimisha kupedwa kama mwenzio ana mipango mingine....
cc Mokoyo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom