Nahisi kama naota vile


Atletico walicheza 12 pamoja na refa wao
 
Badala mnipongeze et mnatongozana hapa
 
Sifa mojawapo ya mke mwema ni uvumilivu,sasa kwa jinsi unavyoporomosha matusi,
Kama mchumba wako yupo humu kweli,nadhani sas hivi pressure inapanda na kushuka.
Sina nidhamu ya uoga,naye anafahamu hilo na kanpenda kama nlivyo
 
ha ha ha ha
Ntuzu nilienda kumkamatia salender bridge amepaki pembeni huku anakodolea macho maji ya bahari.



Khe Khe Khe Khe

Kwa kweli bado Napata Napata buchugu sn maana ATM walivyo haribu BUS letu!?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…