Nahisi kama naota vile

Nahisi kama naota vile

Daaaah
Shkamoon wakuu
Baad ya kuachana na yule mpnz wangu na kuachana na ile mibaba nimekuwa na amani,japo nilikiwa katika wakati mgumu sana imebidi nidanganye ile mibaba kuwa waniache me nina magonjwa nitawaambukiza mmoja alikuwa teyar nimwambukize ugonjwa wwte kama nnao lakn nkamwambia sitak dhambi tafuta wanawake wengne niache tumeenda naona sasa kanielewa..
Kama mjuavyo mwanamke mrembo anatakiwa kupendwa,
Kuna mkaka wa hum hum jf kanipenda nimedate nae jana ni mkurya msabato nimevutiwa nae na kaonesha kunipenda sana kanipeleka hadi nyumban kwao i cnt explain nahis na mm nmependa nahisi huyu ndiye mume wangu ana kila sifa ya mwanaume ambaye huwa namuota awe mume wangu hapa nshachanganyikiwa siamn jaman jf imenipa mume pasipo kutegemeaaaaa
Nawapenda wote
Nampenda pia evelyn slt

marhabaa!
 
daaah thread za huyu dada nahisi ni tofaut na hali halisi aliyonayo pengine anafanya hivo ili ajulikane humu ndani au apate komenti nyingi,kama kapata mume wa kwel hongera zake kama ndo gumegume kila la kheri.ila naona wivu ina maana jamaa anameipata PAPUCHI ya umukagame!

Hapana niko realy sijalelewa kwa unafki
 
Nshapendwa na mukurya tuliaaaa

..
...I see hw u going too rough na papara...utakufa kibudu...wallaah..nasema....kama unaandika kufurahisha watu is ok...but kama uko real UTAISHIA VIBAYA SANA...inaonekana ww ni HOLES EVERYWHERE...tigo..voda..brain...body...tabia...everything ni holes & hollow....iko wazi...!!! mzoefu harlot...
 
hahahahah utafiti asikutishe huyo babu chovya chovya simjui hanijui kwanza nampigatop kuanzia sasa lol

Halafu wewe babu Asprin unamtangazia mtu kumbe ata hakujui? Unabahati sana ila ningekuchenjia....
 
Last edited by a moderator:
Karibu ukuryani ila kumbuka kuacha kihere here tutaondoka na shingo yako, ujue kutengeneza bhusara,kupika ugali wa muhogo na ujue kuchoma nyama vizuri kwa ajili ya kuchanganya na gichuri, epuka kuchepukana utageuzwa bucha.
 
kumbe ndo zake?
..alikua anajaribu kumpaka matope paroko..ashindwe
hahahahah
utafiti asikutishe huyo babu chovya chovya
simjui hanijui kwanza nampigatop kuanzia sasa lol
 
Last edited by a moderator:
Kama huna ushauri ukae kimya nna bachela apa kwa kichwa me syo mento okay??
 
Back
Top Bottom