hahahahha unajua why watu wanafanya hivyo
mr presdent kamaliza kila kitu sisi tukaone tuulizie eti chelsea jana kapigwa ngapi hahhaha
hahahahha unajua why watu wanafanya hivyo
mr presdent kamaliza kila kitu sisi tukaone tuulizie eti chelsea jana kapigwa ngapi hahhaha
We tutamalizana PM ili kupunguza wivu kwa binti flani hivi.
Sina wivu my dia🙂...nikuonee wivu mtu hata sikujui...nakwambia ukweli una move too fast...huwezi kujenga nyumba kwa siku moja rafiki....na hata ukiijenga unaanza kwenye msingi kwanza sasa wewe umeruka step zote waweka mabati wakati hata matofali hujaanza kuweka hio itakuwa nyumba kweli?uhusiano wowote haujengwi hivo!!unataka kuniambia umechunguza tabia za huyo mkaka kwa siku moja kugundua kama ni perfect match??:what:maana hukawii kutuanzishia uzi mwengine lol
kwa bantu lady tena shindwaaaa
..
...Waufyate...neno la wazenji...not applicable here...!!!
ah utamu wake hawaujui makele makele tu umukagame bby ucjali wanasema si tunado miaka nenda mpaka waufyate
Wewe mzee vipi? Kaizer huyu mzee anamiliki wanawake wote humu JF?
Umeona amejiunga lini JFYani hiyo ndo sababu ya yeye kuwa mbabe kwa wanawake wote humu ndani? Hata mie nimejiunga kitambo lakini na hivi vibinti mbona vimejiunga juzi tuu.