asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Ntaoga mtoni.....
Hamna kitu kwani?
Ntaoga mtoni.....
Hamna kitu kwani?
Ntaoga mtoni.....
Unacheka unanicheka ha ha hahahaahahahah
Unacheka unanicheka ha ha ha
nakuimagne unaoga mtoni
tena mto kilombero kwa kwa kwa kwa mbavu zinauma na kikopo cha maji ya uhai kimekatwa kwaaa kwa!!!!!!!!!
nakuimagne unaoga mtoni
hhhaahahaha
Tena mto wenye vyura mchana kweupeee jua la utosi....
ntapiga chabo mpaka lolly wangu atapike nikiona lolly anazidi kuwa mbabe nashuka kula kilaini
Nawe ni king'nga' pamoja na kuwa kwenye ignore list, hunioni unakomaa tu kunijibu ptyuuuuuu.....
hahahaa mimi au??kama ni mimi kumbuka nimekomaa na jiji sijarudi igunga nakomaa na kila kitu lol
sio wewe ni mimi
hahhahahh
Ha ha ha hata sio wewe mamyhahahaa mimi au??kama ni mimi kumbuka nimekomaa na jiji sijarudi igunga nakomaa na kila kitu lol