kweli
sezae Ntuzu tutambulishe wifi yetu..kufahamiana ni vizuri
Mnataka mumfahamu wifi yenu?
Basi tulieni tuli mtamfahamu!
Au nimuite aje awasalimie?
Alafu Mbona nyie hamjanitambulisha Shemeji zangu? KM yule anaitwa Excel simuoni Siku hizi yupo KWELI? Bado Shemeji yng Au? Na wewe mwallu ndio yupi Shemeji yng? Maana miss neddy namfaham Excel
ee tunataka kumfahamu wifi yetu.
shemeji yenu kwangu sezae mnamfahamu..lol
Mi simfahamu! Ulinitambulisha?
Mnataka mumfahamu wifi yenu?
Basi tulieni tuli mtamfahamu!
Au nimuite aje awasalimie?
Alafu Mbona nyie hamjanitambulisha Shemeji zangu? KM yule anaitwa Excel simuoni Siku hizi yupo KWELI? Bado Shemeji yng Au? Na wewe mwallu ndio yupi Shemeji yng? Maana miss neddy namfaham Excel
sikukutambulisha..ila kwa sasa tuanze na wifi yetu kwanza..halafu mie nitafata
Hapo umenitega! Duh! Huo mtego mgumu sn!
Dada yng ktk hii Jf hauna wifi yako huo ndio ukweli! Yani sina kabisa!
Ila niko Na Mke kabisa nimeoa Na niko Na watoto!
Hahaha mwallu aje ajibu tuhuma zake mwenyewe
mdogo wangu miss neddy...mpaka hapa nachaga gabhimba ga ngi..cc sezae Ntuzu