Weee haachwi mtu hapa tutacheza tu, tena nikukute ushaokota vifuu tujipikilishe kibaba na mama.
Daaaah
Shkamoon wakuu
Baad ya kuachana na yule mpnz wangu na kuachana na ile mibaba nimekuwa na amani,japo nilikiwa katika wakati mgumu sana imebidi nidanganye ile mibaba kuwa waniache me nina magonjwa nitawaambukiza mmoja alikuwa teyar nimwambukize ugonjwa wwte kama nnao lakn nkamwambia sitak dhambi tafuta wanawake wengne niache tumeenda naona sasa kanielewa..
Kama mjuavyo mwanamke mrembo anatakiwa kupendwa,
Kuna mkaka wa hum hum jf kanipenda nimedate nae jana ni mkurya msabato nimevutiwa nae na kaonesha kunipenda sana kanipeleka hadi nyumban kwao i cnt explain nahis na mm nmependa nahisi huyu ndiye mume wangu ana kila sifa ya mwanaume ambaye huwa namuota awe mume wangu hapa nshachanganyikiwa siamn jaman jf imenipa mume pasipo kutegemeaaaaa
Nawapenda wote
Nampenda pia evelyn slt
..
...Haaaahaaaa...Babu Asprin leo una kaziii.....ila kuna dawa ya #MAPENZI inauzwa nimeona...unatoa hela tu..unaona miss anakung'ang'ania hadi umchoke mwenyewe...!!!
Kwa hiyo niweke mchinaa
utafiti usimsikilize babu mkongojo ananiwekea vesi hazina hata midundo lol afu Bantu lady kaka yako yu wapi naona wamemsahau humu lol
Hahahaa ndo michango yenyewe hiyo...fursa baba..fursa
utafiti usimsikilize babu mkongojo ananiwekea vesi hazina hata midundo lol afu Bantu lady kaka yako yu wapi naona wamemsahau humu lol
Weee haachwi mtu hapa tutacheza tu, tena nikukute ushaokota vifuu tujipikilishe kibaba na mama.
utafiti usimsikilize babu mkongojo ananiwekea vesi hazina hata midundo lol afu Bantu lady kaka yako yu wapi naona wamemsahau humu lol
Evelyn Salt acha basi kunirusha roho....Sa ngapi tunaenda kusugua gaga, nikarushe wowowo siku iishe.....
Bantu lady naomba kaa mbali na Asprin huyo babu ni zaidi ya balaa...
Bantu lady naomba kaa mbali na Asprin huyo babu ni zaidi ya balaa...