Nahisi kama naota vile

Nahisi kama naota vile

Thubutuuuuu he he he hayo sio makalio kwamba kila mtu anayo....

sio nywele kila mtu anazo ukikosa za kichwan utapata za kwapani ukikosa za kwapani utapaza za kidevuni ukikosa za kidevuni UTAITWA KIPARA AHHAHAHHAA NAJUA THINKY HAPA ASHAMALIZIA
 
sio nywele kila mtu anazo ukikosa za kichwan utapata za kwapani ukikosa za kwapani utapaza za kidevuni ukikosa za kidevuni UTAITWA KIPARA AHHAHAHHAA NAJUA THINKY HAPA ASHAMALIZIA
kama kawa karibuni kuku mi siio mchoyo
 
Muniwache nakula raha sasa hv na ma bby nampenda jamn,,,,lol achen tu
 
ajambe?mi daktari anasindano yangu moja ya mchina ya wowowo naipenda hali ya hewa ya ofisi yangu na sina huruma atashtukia makofi paaaa

Kwan nyie ni me au ke?
 
Back
Top Bottom