Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,306
Hivi yuko wpi au ndo ameshajiongeza apa....
Huyo lazma atakuwa kajificha chumba maalum cha pm
chezeiya mahaba niue...
Hivi yuko wpi au ndo ameshajiongeza apa....
Hawa wanapendeza zaidi ukiwala kwa macho..! Umeshatoka lakini njaa zao huwa haziishi ataiumiza pochi yangu na bado atakuwa na njaa!
Huyo lazma atakuwa kajificha chumba maalum cha pm
chezeiya mahaba niue...
...
...rahaaa..kweli..watu wazima wakiwa wanatongozana unapata ELIMU tosha...ni mtongozo wa UTU na BUSARA kemkem...maneno malainiii...matamuuu....hadi mwanamke ana feel her DIGNITY IPO JUU....!!!! teh teh
Kijana kazama kwenye dimbwi la mahaba...Kama meli Sewol ya Mkorea lol
..
..akiweka picha...akapanua huyu waweza ona mapango ya Amboni...over used...akifaa kwa scraps bahati yake...kuna watu unajua tu akisema..unajua huyu MA.vI huyu...huyu maandazi..huyu kiazi...huyu nazi...Huyu ni zaidi ya hawa...wtf..!!
DAH mi na umukagame tunahamia nairaland forum IQ za bongo now zinaporomoka
hamna lolote njaa ya pesa na kipururu kinawasumbua nenda forum za malaysia,state men they r mystyle yani demu anapewa ile real concern mpaka anasema happy to be a lady,hapa mara moyo wangu mara dear mara pm mara mahaba niue mara kuvaliana boxer nonsense be realistic be a human acha kuimitate we need A REAL EMOTIONAL LOVE FEELING CONVERSATION not sex inspiration ni uwehu
Rafiki tumia pesa ikuzoee
..U talk of Malaysia..?? wht..? Each year I used to go Kuala Lumpur for refresher course...I lived and dwelled there yearly a full month...about 4 consecutive years now...JUST SPEAK WHT U FEEL....UR TOO FAR FROM REALITY KANKY...
..I wanna speak wht..!!??
Halafu, just thinking huyu aliyempata JF sio Ntuzu kweli? Au yeye sio Mkurya?
Bantu lady Evelyn Salt miss neddy Dinazarde
Last time Ntuzu alitukimbia sredi ya chelsea na ATM
Good hebu nipe kwanza pakti ya sigara...ule ugoro wa Asprin umeuleta?
mmegonganisha basi 2 njia kuu??
hahahahaha Kaizer nitake radho tafadhali kaka yangu haiwezi kuingia mkenge lol
..DAH mi na umukagame tunahamia nairaland forum IQ za bongo now zinaporomoka
am talking bout forums not countries,,afu sijakuuliza umeenda wapi,,wengine hatupendi showoff japo tumezurura na kula different ethnities ,,be real in expressing your in variety not imitation methodlogy mademu wanapenda ladha adimu na tofauti hatabila pesa kibongo utawapata anyway we endelea na hayo sijui ya KIUTU UZIMA SIJUI NDO YAKOJE
ntuzu atakuwa msukuma....