Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,099
- 165,282
vipi tuingie kwenye kamati ama ya harusi lakin
Mmmh naona upo kwenye kitengo cha maafa na starehe
kamati ya msiba upo, kamati ya harusi upo
he he he tutakukoma mwaka huu
vipi tuingie kwenye kamati ama ya harusi lakin
Ndo maana nimeomba pooo..masikini roho yangu mie.....
Daaaah
Shkamoon wakuu
Baad ya kuachana na yule mpnz wangu na kuachana na ile mibaba nimekuwa na amani,japo nilikiwa katika wakati mgumu sana imebidi nidanganye ile mibaba kuwa waniache me nina magonjwa nitawaambukiza mmoja alikuwa teyar nimwambukize ugonjwa wwte kama nnao lakn nkamwambia sitak dhambi tafuta wanawake wengne niache tumeenda naona sasa kanielewa..
Kama mjuavyo mwanamke mrembo anatakiwa kupendwa,
Kuna mkaka wa hum hum jf kanipenda nimedate nae jana ni mkurya msabato nimevutiwa nae na kaonesha kunipenda sana kanipeleka hadi nyumban kwao i cnt explain nahis na mm nmependa nahisi huyu ndiye mume wangu ana kila sifa ya mwanaume ambaye huwa namuota awe mume wangu hapa nshachanganyikiwa siamn jaman jf imenipa mume pasipo kutegemeaaaaa
Nawapenda wote
Nampenda pia evelyn slt
Hivi umukagame hizi hadithi huwa ni za ukweli? then una undugu wowte na paul kagame? any wy mi nko zangu kwetu pazuri hapa, tusker baridiii!
Mmmh naona upo kwenye kitengo cha maafa na starehe
kamati ya msiba upo, kamati ya harusi upo
he he he tutakukoma mwaka huu
Dah!!!! Naona tunatishana sasa, basi ngoja niwe mpole. But ninahasira na wewe sana uliniuzia mbuzi kwenye gunia halafu ukasepa. Anyway mbona kama inaonekana huyu binti miss neddy hakutambui wewe isipokuwa utafiti?
..
..#Ma .laya hana harusi ww...coz hakuna cha kuoa...
Ha ha ha mtume roho yangu.....!!!!!
....a.k.a unga wa nganohahahahahah mimi naitwa MUZEE YA MUJINI
Afu siku nakukuta LCD 32".......utatafuta pa kutokea
hahaahah eti umukagame hamna harusi sooo sad
Mi na miss neddy hatujakutana gulioni katerero.
Akuuuu mtoto lenzi mbinuko nasaidia kuona karibu....
Hii kitu mkuu ishaingia u.pu.pu umukagame huko alipo nadhani anajuta kutandikia watu jamvi na kugeuza kijiwe cha soga barazani kwake.