Nahisi kama naota vile

Nahisi kama naota vile

Bibie nawe nawe siku moja tu na ndoa unataka.kuwa makini usije ukawa kama fisi wakuokota mizoga.
 
Wewe si tulishakuzika? Na wali tukala pale kwenu.
 
Kuna mkaka wa hum hum jf kanipenda nimedate nae jana ni mkurya msabato nimevutiwa nae na kaonesha kunipenda sana kanipeleka hadi nyumban kwao i cnt explain nahis na mm nmependa nahisi huyu ndiye mume wangu ana kila sifa ya mwanaume ambaye huwa namuota awe mume wangu hapa nshachanganyikiwa siamn jaman jf imenipa mume pasipo kutegemeaaaaa
Nawapenda wote
Nampenda pia evelyn slt
Jamaa ako na pesa mingi eeeh??
 
did you measure my IQ MISS???????TEHteh

..
..NOTE: u don't hv IQ...!! u carry low EQ...drunkard spirits & hollow illiterate porous head....!!! impregnated mind...!!!
 
Daaaah Shkamoon wakuu Baad ya kuachana na yule mpnz wangu na kuachana na ile mibaba nimekuwa na amani,japo nilikiwa katika wakati mgumu sana imebidi nidanganye ile mibaba kuwa waniache me nina magonjwa nitawaambukiza mmoja alikuwa teyar nimwambukize ugonjwa wwte kama nnao lakn nkamwambia sitak dhambi tafuta wanawake wengne niache tumeenda naona sasa kanielewa.. Kama mjuavyo mwanamke mrembo anatakiwa kupendwa, Kuna mkaka wa hum hum jf kanipenda nimedate nae jana ni mkurya msabato nimevutiwa nae na kaonesha kunipenda sana kanipeleka hadi nyumban kwao i cnt explain nahis na mm nmependa nahisi huyu ndiye mume wangu ana kila sifa ya mwanaume ambaye huwa namuota awe mume wangu hapa nshachanganyikiwa siamn jaman jf imenipa mume pasipo kutegemeaaaaa Nawapenda wote Nampenda pia evelyn slt
Nchyee, chyee, chyeee!!! Napiga sana chafya waungwanaaa mnisaidieeee!!!
 
Nakupendaaaaa,iiiiiiiiiooooioooooo:banghead:😎:banghead:😎:banghead:😡😡😡:sly::sly::sly::sly::sly:

Najua unanipenda, na haka kamvua mimba itakuhusu. Nasogea hapo Masai Club kuzimua. Wahi
 
Back
Top Bottom