Dah mwamba anamaisha magumu mpka leo anaishi nyumba za bafu la kutiririsha maji dahSamahani mkuu mi naomba kuuliza, hivi kulikuwa na haja ya kusema Habari za kuangalia tamthilia tena hadi na jina lake au ratiba ya kutoka gym ndio uulize Habari za mlenda wako?
Ungesema tu umeingia bafuni ukasikia harufu ya mlenda kungekuwa na nini boss?
Anyway hatupangiani cha kuandika lakini, tecno ni yako na bando ni lako au vipi.
Tukija kwenye swali lako, kesho ukiamka asubuhi zunguka nyuma ya choo/bafu lako utakuta mlenda umeota huko kwenye ule ukijani ukijani wa maji yanayotoka bafuni
Mambo yapi? Ya kunusa harufu?
au unamaanisha ukienda gym huingii chooni?
au hujaelewa post vizuri? Au mm cjaelewa?
sorry ngja nirudie kusoma
Sisiemu ndipo iliponifikisha wewe imekufisha wapi mwezanguDah mwamba anamaisha magumu mpka leo anaishi nyumba za bafu la kutiririsha maji dah
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Af nikapata hamu ya mrenda 😂😂😂😂Ni gesi uliyotoa sema kujisahaulisha
1. Ulienda gymDah sasa g
Gym sijawai tumia choo cha hapo na sikijui
Sijaafanya mjunjani bhna 😂😂😂😂😂😂 unanizungusha sana ase1.ulienda gym
2.ukarudi na kuingia ndani
3.ukaWatch video
4.ukaenda chooni (maana yake hapo ni kwako)
5.ukakuta harufu ya mrenda.
~sasa mm nakwambia hvi, huo si mrenda bali ni harufu ya shahawa!
maanake kuna ndindindi ilifanyika humo, na wewe ukaingia baada ya
kama cjaelewa nivumilie hvyohvyo plz
huyu kasema ukweli, mungu ambariki apate zaidi ya hiyo alonayo!Dah mwamba anamaisha magumu mpka leo anaishi nyumba za bafu la kutiririsha maji dah
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Utakufa mapema ba mdomo wakohuyu kasema ukweli, mungu ambariki apate zaidi ya hiyo alonayo!
humu kuna ndume zinamiliki IST hewa, inter mirano, hewa,.. Kiufupi maskin humu ni wengi tu mbona[emoji4] ila wanajifanya matajiri hewa!!
Mhhhnh! Huenda nikafa mapema kweli maana hata hivyo sijuwi nitakufa lini! Sasa huoniUtakufa mapema ba mdomo wako
Ahaaa utakufa kifo cha mende 😂😂😂😂mhhhnh! huenda nikafa mapema kweli maana ata hvyo sijuwi nitakufa lini! sasa huoni
wewe utakufa lini ase? ukitaka kufa uniambie[emoji23]Utakufa mapema ba mdomo wako
Mimi mpka niwe raiswewe utakufa lini ase? ukitaka kufa uniambie[emoji23]
kwahyo unategemea kwamba utakufa kifo cha panzi? Ukitaka kuprove nenda hospital uone wanakufaje. Ni mwendo wa meende baba[emoji4]utakufa kifo cha mende
Nitawapiga aseWatani zako wamekuwekea libwata 🤣🤣
Au ukute cobra katembelea kwenye kingo za sinki