Nahisi harufu ya mlenda pori chooni

Nahisi harufu ya mlenda pori chooni

Hellow guys

Leo nimetoka gym muda sio mrefu nimefika nimeangalia tamthilia yangu pendwa two brothers.

Baada ya kuisha nikaenda kuoga nimefika chooni nahisi harufu ya mlenda pori achana na mremba wa majani ya maboga ule mlenda pori unanukia balaa nikaona nikaoga nikamaliza

Sasa hapa bado nawaza je niite mganga aague au nikazane na maombi au nimebaki njia panda

Au ni kawaida
Kawaida sana.Na bado.Utaja sikia harufu ya pilau au makande.
 
Samahani mkuu mi naomba kuuliza, hivi kulikuwa na haja ya kusema Habari za kuangalia tamthilia tena hadi na jina lake au ratiba ya kutoka gym ndio uulize Habari za mlenda wako?

Ungesema tu umeingia bafuni ukasikia harufu ya mlenda kungekuwa na nini boss?

Anyway hatupangiani cha kuandika lakini, tecno ni yako na bando ni lako au vipi.

Tukija kwenye swali lako, kesho ukiamka asubuhi zunguka nyuma ya choo/bafu lako utakuta mlenda umeota huko kwenye ule ukijani ukijani wa maji yanayotoka bafuni
Hahahahaha eti tecno yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom