Nahisi alikuwa gesti

Huyo kapigwa rafiki yangu,harafu ana confidence yakutosha,vyumba vya kawaida kukuta feni juu ni nadra sana,hii kwa gect ndo fasheni.wanawake wa ivo hawafai ,wanaopenda kujipiga vipicha wengi wao tabia zao ni chafu,kusifiwa na wanaume na kutongozwa kwao ndo habari ya mjini,mpe hai shemeji yangu chawote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah!! Umeandika ukweli mtupu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ulitaka ule peke yako ? Unadhani na mi simtamani ? Kizuri hajakuvunjia heshima acha tuendelee kula wote.
 
Ashaliwa huyo na inawezekana ndo tabia yake.bado hujamsoma vzuri. Naww unaanzaje kuwa na manz mmoja tu??


Sent using Redmi7
 

Huo utoto kuchati na Demu masaa yote hayo unataka kupindua nchi?


Sent using IPhone X
 
Kweli kabsaa mkuu,hisia ndo kila kitu kwa mwanadamu,
Mie kuna kitu nilihisi kwa demu wangu kuwa kaanza kuchepuka lakn nikahisi hisia zinanidanganya lakn mwsho wa siku hisia zikaja kuwa kweli na nilikua nishachelewa muda sanaaa,kwahyo binadamu tukiwa na hisia na kitu flani tusisite kukiamini hata kwa asilimia uchache.
Chunguza na tafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake tuishi nao kwa akili.
Mwanamke ni chombo cha starehe tu akiamua kumpa starehe mwenzako usishangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pamoja mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…