Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 771
- 1,321
- Thread starter
-
- #61
Huo ni uhuni mkuu. Ina maana wewe hutafuti wife? Au huna mpango wa kuoa.!Yaani point kabisa... Kutulia na papuchi moja nikujitakia majanga tuu. Unakuwa nazo kama tatu hivi kwa mpigo mmoja kizingua unajua zipo mbili za kukupa raha.
[emoji3][emoji3][emoji3] litakuwa ni shambulio la aibu.Tuma picha mkuu watalaam watakwambia hadi chumba namba ngapi
Hivi unachokiandika una uhakika nacho au unasikia raha tu kuandika utopolo. Vocha ni wewe ndio unamnunulia!!?? Then wewe ndio umemchumbia!!?? Nilisema hiyo chatting sio continuously.Shule zifunguliwe mkasome, sasa wewe dem hujamchumbia hata pesa ya vocha hujui anapewa na nani ila unataka uchati nae masaa 24 yeye huko kwao hapiki, haoshi vyombo au hana kazi za kufanya kama wewe ulivyo kula kulala
[emoji3][emoji3][emoji3] wazo zuri.. but sometimes hivi vitu vinakuwaga kama one among the basic needs.Upo Free sana, nakushauri badilisha aina ya stress, stress za status za wanawake ni matumizi mabaya ya stress. Nenda hata kakope ununue shamba halafu uanze kuwa na stress za jinsi ya kulipa kuliko kuwa mr lover lover.
Huo ni uhuni mkuu. Ina maana wewe hutafuti wife? Au huna mpango wa kuoa.!
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha wewe mwenye pisi kali wajanja wamekugongea halafu demu wako alivyo kiazi mpk picha amerusha mtandaoni. Amekukosea adabu sana huyo demu nakushauri usilimuulize na kata mawasiliano mpk akutafute mwenyewe. Unatafuta maambukizi mapya ya HIV na CoronaSababu ya kupigwa ni ipi hapo mkuu? Kama unampenda kweli kuna vitu lazima uwe na wasiwasi navyo. Tatizo mnatokaga na pisi za kawaida ndio maana hamnaga wivu nao[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
weka picha au video ili tuweze kukushauri vizuri wengine bado hatujanywa chaiMoja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting[emoji3]
Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.
Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.
Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi [emoji3][emoji3][emoji3].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unachokiandika una uhakika nacho au unasikia raha tu kuandika utopolo. Vocha ni wewe ndio unamnunulia!!?? Then wewe ndio umemchumbia!!?? Nilisema hiyo chatting sio continuously.
Kanawe mikono na maji yanayotiririka utumie na sanitizer ukalale ujiepushe na korona maana hujui unachokiandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una jina la heshima lakini unachokiandika ni upupu mtupu!Dogo unatumbu tu na uzi wa kitoto sasa kama ameliwa si ukae kimya, we huna unachomgharimia ndo maana kaamua kuliwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa mkuu nimekusoma!ha ha ha wewe mwenye pisi kali wajanja wamekugongea halafu demu wako alivyo kiazi mpk picha amerusha mtandaoni. Amekukosea adabu sana huyo demu nakushauri usilimuulize na kata mawasiliano mpk akutafute mwenyewe. Unatafuta maambukizi mapya ya HIV na Corona
Pambana[emoji3][emoji3][emoji3] wazo zuri.. but sometimes hivi vitu vinakuwaga kama one among the basic needs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tuna kazi nyingi sana za kufanya kuliko kubembeleza mapenzi!
Shtuka brother.
Sent using Jamii Forums mobile app