Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 770
- 1,315
- Thread starter
-
- #41
Sometimes zinakuwa hisia tu. Kama nilivyosema sijui chumba anachoishi kwao kikoje.Toka 2020 ianze wanaume tunaongoza kulalamika.. Sijui tatizo liko wapi. Najikuta nina swali genuine, hao wanawake wanaopelekwa guest house mnawatoa wapi? Halafu anafikia kupost video yuko mazingiza kama hayo wakati anajua ana boyfriend/fiance'/mme.. au wewe ni mchepuko wake so she gives no **** with you?
A woman should leave no loose ends!!
Hujaona taulo pia na ndala ovesize zilizokatwa kwa mbele au nyuma? Kama kitanda ni cha mbao umeliwa na kama ni cha chuma ni geto la msela pia umeliwa.
Wanaume tumeumbwa mateso...
Nyie ndio mnaopigagwa na wake zenuMoja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting
Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.
Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.
Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo tunapouishi ule msemo usemao ukiona huumizwi tena na mapenzi/uhusiano basi wewe umeshakuwa malaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin huyo sio tu mtu ila ni girl ako...Daaah!! Mkuu hizo mambo za kuwa na app ya kudownload status za watu linipite tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiz ni kauli za watu waliokata tamaa ya maisha kwenye haya mambo
Kwan mkuu we gheto unaa kitanda cha namna gani?Hujaona taulo pia na ndala ovesize zilizokatwa kwa mbele au nyuma? Kama kitanda ni cha mbao umeliwa na kama ni cha chuma ni geto la msela pia umeliwa.
Wanaume tumeumbwa mateso...
Yaani point kabisa... Kutulia na papuchi moja nikujitakia majanga tuu. Unakuwa nazo kama tatu hivi kwa mpigo mmoja kizingua unajua zipo mbili za kukupa raha.Karne hii si karne ya kubembeleza penz mjomba,kuA kama mm tuu
Kata mti pandA mti,wala usijibizane na mwanamke
Yaani point kabisa... Kutulia na papuchi moja nikujitakia majanga tuu. Unakuwa nazo kama tatu hivi kwa mpigo mmoja kizingua unajua zipo mbili za kukupa raha.
Sababu ya kupigwa ni ipi hapo mkuu? Kama unampenda kweli kuna vitu lazima uwe na wasiwasi navyo. Tatizo mnatokaga na pisi za kawaida ndio maana hamnaga wivu nao
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting
Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.
Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.
Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha unaelewa kuwa she's never yours, it's just your turn. With that in your mind, at least you won't try to kill yourself when you find out someone has been splitting your girlfriend's camel toe.
It seems you're the clingy type "Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video", I highly recommend you first quarantine yourself from her, and all the rest will fall into place.
Ni kweli kiongozi. Ikiwezekana itabidi nifanye hivyoLakin huyo sio tu mtu ila ni girl ako...