Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 771
- 1,321
Amini sana hisia zako. Huo ndio mlango wa sita wa fahamu. Hisia huzalisha tashwishi, ambayo huzalisha uchunguzi. Uchunguzi hutoa majibu ya kuthibitisha au kukanusha hisia.
Hisia ni mlango wa sita wa fahamu! Heshimu Hisia Zako!
NB:
1. Rusha hiyo video clip
2. Ikiwa ni kweli, umeachwa ndugu yangu. Anza kusaka upya mwanamke mwingine ili ukija elezwa biashara imekwisha, usishikwe na utungu.
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] sawa mkuu.Ukakamate mwizi mbunye yako?km kakazwa kapigwa miti tu pambana na corona tuijenge nchi
[emoji3][emoji3][emoji3] hii itasaidia kupunguza machungu.Ili muende sawa usimuulize.. na wew nenda kapige picha nje pale kwenye bango la guest afu na ww post.. usisahau kuficha ficha na viimoji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani chief.Karne hii si karne ya kubembeleza penz mjomba,kuA kama mm tuu
Kata mti pandA mti,wala usijibizane na mwanamke
Moja kwa moja kwenye mada. Demu wangu leo tangu asubuhi tulikuwa tunachat fresh kabisa mpaka kufikia mida ya saa kumi na moja hivi. Kwa kupumzika pumzika sio mwanzo mwisho chatting[emoji3]
Ilivyofika saa 11 jioni akatoka online. Saa kumi na mbili alipost picha akiwa home kwao amependeza anaonekana anamtoko. Hatukuchat tena kuanzia muda huo na hakuwa online.
Mimi ilivyofika saa tatu nikalala zangu. Ilivyofika saa nane usiku nikashtuka nikaangalia Whatsapp status nikaona amepost video anacheza kwenye room ambayo nimeitilia mashaka na jinsi ilivyo. Room ina kitanda kimoja kimetandikwa fresh halafu kina kidirisha cha juu kidogo, japo sijui room ya nyumbani kwao ikoje but nafsi inaniambia kabisa yale ni mazingira ya gest. Halafu juu kuna kifeni kina pepea kwa speed ya 4G. Na sehemu nyingine kazificha kwa kutumia emoji.
Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi [emoji3][emoji3][emoji3].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama anayo yy ndio kusema umeshindwa kuichukua kwa kutumia app kibao zilizojaa mtandoni uwe nayo.