Nahamia Mwanza kusaka maisha ni mitaa ipi nitapata chumba cha elfu 30 ambapo pia huduma za kijamii zinapatikana kwa urahisi?

Kilimahewa ,nyasaka kiloleli, nyakato meko,nungu,national,buzuruga,kiseke,kona bwiru na maduka 9 ni sehemu zenye mishe na hazina uswahili zaidi ukilinganisha na kirumba,mabatini,igogo na the like

Kwa igoma ni mbali pia pamepooza akishindwa sn atleast pasiansi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Up wap kwa sasa
 
Mwanza rocky city

Karibu sana ule sato sangala ugalia wa udaga

Njoo ukae mitaa dampo town unatembea tu
😆🤓😂
 

Kama Dar umefeli basi mwanza hautoboi.


"New York, if you can make it here, you can make it anywhere
We still here! And we buildin four more new towers" - Diddy
 
Mkubwa nasikia kuna wababe wanakaba watu hata mchana hapo Igogo
 
Mkubwa vipi mafuriko mvua zikinyesha hapo Buhongwa
 
Mkubwa nasikia kuna wababe wanakaba watu hata mchana hapo Igogo
Igogo ni kiini cha ujambazi na ushenzi toka enzi

Watu walivamia sana hayo maviwanda na kuiba mafuta na wengi walitajirika sana

Igogo ina mpangilio mbaya sana wa makazi, kama.ilivyo manzese buguruni and the like...

Ngoja mdau aendw huko ajifunze mengineyo
 
Kwanini unaondoka Dar mkuu?, kama ni biashara imekuwa ngumu Dar basi sikushauri kabisa kuchomoka hapo. Labda kama una sababu tofauti au biashara unayoenda fanya Mwanza ina link na Dar hapo sawa

Ila vinginevyo, komaa na Dar tu.
 
Mwanza imepoa ila wachache wana hela ya kufa mtu.. napapenda sana mwanza kuliko dar..
Mi mwenyewe napakubali kinyama mkuu(niliwahi kuishi pande hizo kwa miaka 4) na nilikua nafikiria kuanzisha shughuli zangu huko na ku settle kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…