Albahi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2020
- 480
- 579
Mwambie na nauli ni 400 tu hadi mjini.Karbu igoma mkuu,kumechangamka na vyumba vipo kwa bei yyte,pia n karbu sana na mjin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie na nauli ni 400 tu hadi mjini.Karbu igoma mkuu,kumechangamka na vyumba vipo kwa bei yyte,pia n karbu sana na mjin
Karibu kwetu Ihale, Ichila, Nyawa,
Up wap kwa sasaWakuu,
Nimeamua kubadilisha mazingira ya utafutaji kutoka Dar kwenda Mwanza.
Mwanzoni mwa mwezi wa pili natarajia kusafiri, naomba msaada wa kufahamu ni mitaa ipi nitapata chumba cha elfu 30 na kuna huduma za maji, umeme na usafiri wa kwenda mjini ni nafuu na wa uhakika, na hakuna vibaka na wahuni wengi.
Nawasilisha
Ajiandae kugombania hice ikifika jionBuhongwa,ilemela,butimba na nyegezi ni mbali sn atapata shida hasa nyakati za night
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ni Kama Bugando Nkari,Kuna vibaka? Waliwahi kuniibia nguo zote.Mabatini hata bure sikushauri kukaa.
Wakuu,
Nimeamua kubadilisha mazingira ya utafutaji kutoka Dar kwenda Mwanza.
Mwanzoni mwa mwezi wa pili natarajia kusafiri, naomba msaada wa kufahamu ni mitaa ipi nitapata chumba cha elfu 30 na kuna huduma za maji, umeme na usafiri wa kwenda mjini ni nafuu na wa uhakika, na hakuna vibaka na wahuni wengi.
Nawasilisha
Mkubwa nasikia kuna wababe wanakaba watu hata mchana hapo IgogoTafuta mabatini.
Kuna gari nyingi zinazoingia ruti hio hata usiku.
Usiende kirumba wala kitangiri wala igogo.
Huko kuna ushenzi mwingi, hasa igogo.
Ukipenda nipigie 0744033555.
Nimeikimbia Mwanza nimekuja Dar na mafanikio nayaona. Nabana matumizi kama vile ntazikwa na hela haha
Ukikaakaa nyumbani nini kinakupata mkuuIla usiwe mtu wa kukaa kaa nyumbani
Mkubwa vipi mafuriko mvua zikinyesha hapo BuhongwaKapange kirumbaa ama ghana waweza pata vyumba kwa bei hiyo na ni sehemu ya karibu na mjini,,,,,,,,,,ukitaka nje ya mjini nenda buhongwaaa maisha ni marahisi kuna soko la vyakula linalolisha sehemu kubwa ya Mwanzaa utajifunza mengi,na vyumba vipo vya bei hio ,nauli to town tsh400
Kila la kheri
Igogo ni kiini cha ujambazi na ushenzi toka enziMkubwa nasikia kuna wababe wanakaba watu hata mchana hapo Igogo
Mwanza imepoa ila wachache wana hela ya kufa mtu.. napapenda sana mwanza kuliko dar..Kwamba ni mzunguko wa Mwz ni mdogo sana mkuu?
Mi mwenyewe napakubali kinyama mkuu(niliwahi kuishi pande hizo kwa miaka 4) na nilikua nafikiria kuanzisha shughuli zangu huko na ku settle kabisa mkuu.Mwanza imepoa ila wachache wana hela ya kufa mtu.. napapenda sana mwanza kuliko dar..
Patamu sana, mie huenda kula bata tu, roho ya kuishi nje ya Dar es Salaam sina .. 😃😃Mi mwenyewe napakubali kinyama mkuu(niliwahi kuishi pande hizo kwa miaka 4) na nilikua nafikiria kuanzisha shughuli zangu huko na ku settle kabisa mkuu.