Nahamia airtel, siitaki tena tigo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahamia airtel, siitaki tena tigo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jitihada, Jun 19, 2011.

 1. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wote! Yaani hawa tigo wameamua kutuwekea makelele pindi ukiwa unampigia mtu simu wakati salio lako likiwa halisomi, hii inanikera sana binafsi maana naona wanadhamira ya kutufanya viziwi. Nawasilisha kero.
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Zantel ndo mzuka ile mbaya
   
 3. womanizer

  womanizer Senior Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu sana, jisikie nyumbani. Mimi nipo huku toka 2005 na sijawahi kujuta kamwe. Usikivu murua, promising customercare, affordable charges just to mention some of the benefits one enjoys to be in AIRTEL
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,932
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  kwenye bold tunaomba ufafanuzi...... piga AIRTEL CUSTOMER CARE jibu utujulishe
   
 5. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,664
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ki ukweli airtel nzuri sana siku hzi bandugu,me mwnyewe tigo nimeipotezea tayari!
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,935
  Likes Received: 2,098
  Trophy Points: 280
  Hii iamishwe jukwaa la mapenzi.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Kwa nini?
   
 8. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Acheni kutuchanganya. Hiyo airtel mnayoisifia ina nini cha kujivunia? Kwanza hawana msimamo mara leo Celtel, kwesho Zain kwesho kutwa Airtel yani mpaka wanachosha. Cha ajabu hata wao hawajiamini kabisa ndo maana ukijaribu kuwapigia simu utapigiwa nyimbo za matangazo mpaka asubuhi hawapokei simu kabisa. Sasa huo ubora wa huu mtandao ni upi? naomba mniambie.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Bila shaka mdau mawazo yake yapo kwenye ile "tigo" na sio kampuni ya mawasilianoya simu ya mkononi ya Tigo.
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,932
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  womaniser....piga kastama kea ya zain/celtel/airtel kama itapokelewa...ikipokelewa nakupa zawadi
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka hao airtel ndio wapuuzi wa kutupwa hawana customercare nzuri,
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Basi kama ni hivyo jamaa atakuwa na matatizo ya kisaikologia!!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,689
  Likes Received: 8,251
  Trophy Points: 280
  Kwani Airtel kuna hicho kitengo cha customer care? nadhani labda mnachanganya mada, na kama kipo hicho kitengo mimi nitatoa millioni moja cash kwa atakaepiga na kuwapata hao invisible customer care.
   
 14. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tigo 4life, Tigo 4rever... Hayo mambo mengine madogodogo, achana nayo!!!
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,333
  Likes Received: 3,595
  Trophy Points: 280
  Kitengo kipo mkuu, ila kimehodhiwa (outsourced) kwa wahindi flani hivi wabahili wabahili
   
 16. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwani umesahau Mobitel, ikaja Buzz na sasa Tigo?
   
 17. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,826
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kazi ni kwakooo...
   
 18. MwanaHaki

  MwanaHaki JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,348
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nyie mnadhani haya makampuni yako hapa kwa AJILI YETU? Hakuna tofauti kati ya Tigo, Airtel, Zantel, wote sawa! Wote fisadi! Hata Vodacom!

  Tigo wanajinadi kuwa na mtandao wenye kasi zaidi, Airtel nao. Zantel mpaka wameanzisha kampeni. Zote hizi ni kila kukudanganya. Mbona Sasatel wana wateja luluki, speed yao ni kasi ajabu, na wala hawajitangazi? Propaganda kuu dhidi yao ni WANAISHIA KIBAHA! So what? Hata mbuyu ulikuwa mchicha!

  Acheni ushamba! Mtaendelea kuibiwa mkiwaacha wawekezaji wa ndani, kwa kuwapapatikia hao wazungu!

  ./Mwana wa Haki
   
 19. BCR

  BCR Senior Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo ya mitandao jamani hatuyaitaji humu, hayo unaweza fikiri na kuchukua uamuz mwenyewe. Hilo ni suala binafsi, ukipenda tigo funga nayo ndoa ukiichukia airtel ipe talaka, na nyingne kibao zantel, sasatel na zingne zitakuja weka nyumb ndogo
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Ana matatizo basi!
   
Loading...