Chungu kumezea: Acha niseme na Vodacom Tanzania

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,205
5,333
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza kwanini vodacom waweze wakati wenzao waendelee kushikilia mkia katika kila jambo.

Leo hii ukiutaja mtandao huu ni ukweli usiopingika kuwa ndiyo mtandao nambari moja nchini kwa idadi ya watumiaji, internet yenye nguvu na kasi ya 4G ya ukweli na siyo ubabaishaji kama wenzake wakuungaunga mara wapo pengine hawapo,

Mtandao pekee wenye benki ya uhakika na hutoa mikopo ya muda mfupi pasina masharti mengi and more accessible mpaka deep interior ambako hamna huduma,

Niwape kongole pia katika utengenezaji wa vocha zenu ambazo siyo siri zinakidhi hitaji la mkwanguaji wa vocha hizo unlike competitor wengine like airtel,halotel n.k yaani material yao ni laini mno hivyo inahitaji umakini mno kukwangua vocha hizi,

Pia ni rahisi mno kuzikwaruza namba ambazo hata kwa mtu asiye na matatizo ya macho kwake bado ni mtihani kuzisoma kwa urahisi, hivyo kwa hili mnawapa watu walokula chumvi taabu sana kila wakitaka kuongeza salio mpaka watafute msaada kwa vijana au watoa huduma mkisahau kuwa wengi wa kundi hili ndiyo soko lenu.

Na pia siyo kila mkwangua vocha ana muda wa kutafuta plain surface au mahali pa kugandamizia ndo akwangue vocha, wengine mishe mingi mtu unataka ukwangue vocha huku unatembea au ikiwa kiganjani au uegemezee pajani na huku umeshikilia kikwangio mkononi yaweza kuwa ufunguo au shilingi n.k kazi kwisha uendelee na mambo mengine.

Mnafahulu pia kwenye hili la societal marketing kupitia kujitokeza kutoa au kudhamini mambo mbalimbali ya kijamii.

Udhaifu wa vodacom;

Huduma kwa wateja hairidhishi na pia kujibwetesha pengine ni kukosa ushindani wa kutosha katika soko.

Kuuza siri za wateja na kuwapo na shaka la ushirikiano kati ya wafanyakazi wa vodacom na wale mateja wa tafadhali tuma kwenye hii namba kwa maana hii kero ipo kote ila ukiwa na laini ya vodacom ni worst zaidi.

Matangazo ya huduma na ulaghai wa kamari ni too much usipogusa simu kwa siku nzima ukija kuitia machoni una meseji za mitandaoni si chini ya 20 hapo ujauliza kujua salio meseji kibao bado ujaongeza salio na kujiunga kifurushi.

Juhudi bado ni ndogo zilizofikiwa katika coverage yenu nchi nzima especially vijijini na mipakani yaani mpo ushahidi tu ni aibu tokea tupate uhuru mpaka leo tunatumia minara ya simu ya nchi jirani kuwasiliana ndani ya nchi yetu achilia mbali tunapokea jumbe na matangazo ya minara yao na kukatiwa mawasiliano ndani ya nchi yetu umbali wa karibia kilomita 20 toka mpakani mtandao usomeka busy au 'R' licha ya utitiri wa mitandao ya simu, vodacom ikiwa kinara wao.

Makato makubwa katika huduma za fedha hili sitoliongelea kabisa maana mnajua na bado mnafanya makusudi kiasi cha kuwafanya na wale wengine ambao mwanzoni walikuwa nafuu nao kufuata mfumo huo huo wa kutukamua.

Vifurushi visivyo rafiki na ubashiri wa uwezo wa mtu usiyo sahihi eti kisa siku moja nimeweka buku 5 na siyo buku ninayoweka daily eti tiyari naamia daraja lingine na hata kama nikishindwa kuweka salio mwezi mzima au kuswitch laini nyingine bado hamshtuki mpaka mtu atupe laini.

Namna ya kumdai mdeni kwa njia ya kumwandama na namba binafsi za watumishi wenu na kumpa vitisho mara kwa mara pia ni kero japo dawa ya deni nikulipa ila ni vyema ustaarabu kidogo ukatumika.
 
Sitawasahau VODACOM MPAWA walivyo niokoa ada ya chuo semester ya mwisho kwa kunikopesha laki 4
 
Sasa hivi voda wamekuwa matapeli.
Wanakukata, mkopo wa Mpawa na bado Mpawa anaendelea kukudai.
 
Kumekucha Salama
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu Tuchape Kazi
😀😁😂😃😄😅😆
 
Back
Top Bottom