Kuweni makini na vifurushi vya Airtel

Kuweni makini na vifurushi vya Airtel

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Habarini za jioni,

Asubuhi ya kuamkia jana nilipata mshtuko kidogo. Jana yake jioni niliweka bundle la wiki la GB 1 nikachat na JF na WhatsApp kidogo, usiku nikajibishana kidogo na wifi yenu nikalala.

Na nimezima data, nawasha simu asubuhi nijibu message naambiwa bundle lako la GB1 la siku limeisha. Aisee nikawapigia wakasema ni kweli inaonyesha bundle limeisha GB1, nauliza mbona nimechukua cha wiki na sija-download ama kufanya kazi ya kutumia data? Na je, mbona naambiwa bundle lako la siku limeisha na sijajisili la siku?

Dah Japh boy akanijibu kaka naomba watakupigia kujua shida iko wapi ndani ya masaa 24.

Ghafla nikatumiwa tiketi nitapigiwa simu, hivi sasa inaelekea masaa 48 aisee!

Leo nikamua kujiunga tena nikawapigia inasoma GB ngapi, wakataja nikasema jana mmenifanyia uhuni ngoja tumoniter na hizi kama zitaondoka.

Nawatakia wote matumizi mema wanaotumia Airtel.

Nilishawahi walalamikia huko nyuma naona imeisha hii tabia.

Ukiwa una 2100 unajiunga kifurushi, inagoma na ni kifurushi cha 2000. Ukiwapigia wanakwambia hawaelewi tatizo, embu ongeza za 500.

Kweli nikiongeza kinakubali cha 2000 na salio linabaki, sijui why. Tigo kama una 2000 unaweza jiunga cha 2000 kama una 10000 unaweza jiunga haitaji addition yoyote.

Kituo kinachofuata Serikali za Mitaa.

Tukutane 2 Nov.
 
Kweli tupu mimi mwenyewe wamelamba gb 1 yangu km maji
YAAANI KAMA UMERUSHA MKOJO UNAVYOPOKELEWA KWENYE SHIMO SEK ..NAMSHUKURU MUNGU AKANIULIZA UNA MSG YA WIKI NKAJIBU NDIO..NA HII YENU ASBH YA BUNDLE LA SIKU NAYO IPO DAH AKANIONDOA KIAKILI NAOMBA TUTAKUPIGIA NDAN YA MASAA 24./DK O NAONA MSG TKT NO....UTAPIGIWAA....HAHAA TUNAELEKEA MASAA 48 SASA ANYWAY SIITAJI SIMU TENA KAMA MPO HAPA JUENI HII HAMLI TENA
 
Hilo nilikutana nalo huwa naingiza kwa airtel money tu,yaani ukiwa na 2000 kamili haikubali
MKUUU SIO KWELII
BAADA YA KUWASHA MOTO SANA ULIZA KINA JAPHER SIJUI SARA SIJUI NANII NDANI YA SIKU TATU NILIPOINGIZ 2000 INAKUBALI NA HATA LEO MKUU NILIKUWA NA MANYOYA NKAJAZIA 2000 IKASOMA 2010 NIKAJIUNGA IKAITA...
 
Mnanichsnganya, kesho ilikuwa nikachukue line ya Airtel.
Duh ukiona cha nn wenzio watakipata LINI
HAPA nimejipanga KWENDA halotel KESHOO naona mwingine n maumivu HUKO na WEWE waja huku wenzio twalia aisee lbd ttcl
 
kingine kwa siku unruhusiwa kutuma sms 300 tu hata kama una sms za kutosha , zikishafika 300 unasubiria kesho
 
MKUUU SIO KWELII
BAADA YA KUWASHA MOTO SANA ULIZA KINA JAPHER SIJUI SARA SIJUI NANII NDANI YA SIKU TATU NILIPOINGIZ 2000 INAKUBALI NA HATA LEO MKUU NILIKUWA NA MANYOYA NKAJAZIA 2000 IKASOMA 2010 NIKAJIUNGA IKAITA...
Hata mm imenitokea Mara kadhaa ila sikuleta Uzi hapa,situmii akili ya mtu kucomment hapa
 
Duh ukiona cha nn wenzio watakipata LINI
HAPA nimejipanga KWENDA halotel KESHOO naona mwingine n maumivu HUKO na WEWE waja huku wenzio twalia aisee lbd ttcl
Halotel wameshaniliza sirudi tena, voda nao majambazi halafu expensive. TTCL haifanyi kazi huku nilipo. Natumia tigo sio mbaya sana lkn nahitaji line ya pili
 
GB1 ni siku tatu sio wiki na ni elfu moja.
Niliweka bundle la 1GB siku tatu saa tano usiku dakika 3.Kufika saa 6 usiku napata message bundle lako la siku 3 limekwisha.Nikachanganyikiwa.
Nikaamua kuuliza salio kupitia *149*81# then salio nikaona salio liko sawa.
Nikapata reason kuwa ni autoreply message saa sita usiku simu ina assume ni siku mpya.
Nawashauri airtel rekebisheni hili based on 24hrs×3=72hrs ndio ije msg bundle limeisha.
Otherwise airtel is best msiwapake matope.
Nilitaka kufungua uzi kwa hili lakini kupitia hapa nimeona nitoe ushahidi wangu
 
Back
Top Bottom