Hata mm pia ni ndugu yenuUr welcam ndugu yako niko hapa![]()
Hata mm pia ni ndugu yenu
Haya fursa jitambulishe kwa new membr upate mema ya nchinaonaga aibu kuongea mbele za watu tatzo![]()
Haya fursa jitambulishe kwa new membr upate mema ya nchi
Hahaaa gonga ugongweeenagonga mlango mkuu hii heading inautata mpka kesho yan dadeq
Lydiah tugongane bacHahaaa gonga ugongweee
naonaga aibu kuongea mbele za watu tatzo
Wewe ni Ke au Memm ni ME nitapata tu ataekubaliana na aibu zangu![]()
Wewe ni Ke au Me
Km Me utakua na mwenza kweli kwa hio aibu
Karibu sanaHabari za mda huu wakuu... mimi ni MEMBER MPYA, hivyo nachukuwa fursa hii kupiga hodi humu ndani..
Siku nyingi nilikuwa mtu wa kuperuzi tu thread za watu mbalimbali, So nashukuru leo hii kuwa JF mtandao wa wajanja.
Naomba mnikaribishe Tafadhari
Kwa nyundo au kwann?Lydiah tugongane bac
Huyo aliye kukaribisha wa KWANZA ndie BABU wa JF...Karibu jf