Umeua mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu mkuu ila umbea na ulafi viache kwako, HAPA NJOO UTETE ONDOKA UTETWE
Ur welcam ndugu yako niko hapa[emoji111]Habari za mda huu wakuu... mimi ni MEMBER MPYA, hivyo nachukuwa fursa hii kupiga hodi humu ndani..
Siku nyingi nilikuwa mtu wa kuperuzi tu thread za watu mbalimbali, So nashukuru leo hii kuwa JF mtandao wa wajanja.
Naomba mnikaribishe Tafadhari