Ni mara yangu ya kwanza kuwa janvini,
Nafundisha muziki baada ya saa za kazi. Nafundisha nadharia na vitendo.
Nafundisha ala zifuatazo; piano, guitar, saxaphone...bei ni maelewano ingawa naangalia umbali, usafiri nk.
Sehemu ambazo naweza kufika kwa urahisi ni katikati ya jiji(dsm), mikocheni, oysrerbay na masaki. Vifaa ni juu yako(uwe navyo) na nakufundishia nyumbani kwako(nitakufuata).
Kwa mawasiliano :0767316032 au 0719316030