Nafikiria kuhama Catholic

Mi wanapo nikwaza Wakatoriki ni Ibada ya
Kuisujudia Sanamu ya Kike tu:
Kwakweli wananikwaza sana hata Sina hamu:
Hii na Karne ya Kizazi kipya:
Siwezi kuisujudia Sanamu ya Kike ya SIMENTI kamwe
Shida ni jinsia ya hiyo sanamu au? Vp kama ingekuwa ya kiume
 
Ni kweli kanisani kuna masanamu na yanaabudiwa wala sio uongo.
 
Hakuna kanisa ambalo halina michango.
Pia, sadaka unamtolea Mungu,hautoi kwa Mtu..zikienda kutumika vibaya ni juu yao na Mungu uliyempa hizo sadaka.

Thamani yako anaijua Yesu na MUNGU aonaye sirini atakupa thawabu
Usipende sana kuwa acknowledged na watu..Mungu mwenyewe akishaipokea sadaka yako inatosha.


Hakuna kanisa ambalo viongozi wake wote wamenyooka 100%
Kwahiyo hata ukienda kwingine, bado utapata tu disappointment..kusubiri kuthaminiwa na watu kwa sababu umejitoa,,utachelewa.
 
Hahaa Ni ngumu sana asikuambie mtu kuhama imani uliyozaliwa na kukulia humo.

Unajua kwanini vijana watumikiaji kanisani hua wanakuja kua wasiosali kabisa??
They knew a lot
Ukitaka kufaidi Catholic usitake kujua yaendeleayo ndani
Mm apa mmojawapo, nalipenda katoliki lkn linapoelekea sipo, huwezi amini nina zaidi ya miaka 7 sijaingia church na wala siwazi.
 
Unachokisema ni sahihi kabisa kwa misingi ya imani, lkn ni vipi ukigundua sadaka unayotoa inatumika vby? Mm kanisani nilipokuwa nasali kuna padri nilikuwa nampenda sana, alikuwa akihubiri pale madhabauni hakuna atayelala, alikuwa na hicho kipawa aisee, kuna siku nilivunjika sana moyo kuhusu yeye, kuna mdada wa mtaani alikuwa ananijua mm ni mtu wa kanisa, yeye ni muslim, alinifuata akaniambia huyo padri wako amenitongoza, mbaya zaidi akanionesha na message zake na namba zake, nilichoka sana aisee.
 
Hayo uyasemayo una ihakika nayo au unasimliwa?
Fahamu yafuatayo:
1. Sadaka haitumiki kujenga miradi ya kanisa. Sadaka ni halali ya mlawi, ndiyo inayowategemeza mapadre na maaskofu. Hiyo inatakiwa kuwalisha na kuwavisha.

2. Zaka ni kwaajili ya shighuli mbalimbali na maendeleo ya Kanisa.

3. Mirafi kama shule na hospitali, ni miradi inayojitegemea ambayo hujengwa kwa michango au hata mikopo, na inatakiwa ijiendeshe bila kutumia sadaka au zaka.
Sadaka inayotolewa kwenye parokia moja haipelekwi jimboni, vatican au kwa parokia nyingine yoyote, ile huwa ni kwaajili ya parokia husika, vivyo hivyo kwa zaka. Pesa inayopelekwa jimboni ni michango maalum ya waumini kwaajili ya kulitegemeza jimbo. Vatican haichukui pesa toka majimboni wala parokiani. Pesa pekee ambayo inaweza kuchangwa na kupelekwa Vatican ni kwenye mashirima kama Caritas, ambayo yapo kwaajili ya kusaidia wanaokumbwa na matatizo mbalimbali Duniani, sawa na ilivyo Red Cross.
 
Padre pia ni binadamu kama tulivyo sisi.
Badala ya kuvunjika moyo,ungechukua of hatua kumuombea sana..na shetani anawinda sana watu wa MUNGU Ili awaangushe.
Na duniani hayupo mkamilifu,ndiyo maana Yesu alikuja kutafuta kilichopotea.


Sadaka zikitumika ndivyo sivyo
Mnapaswa kuomba kumlilia Mungu ambaye mlimpa hizo sadaka,,Amtengeneze mambo.
MUNGU ni mwaminifu, huwa anajibu.
 
Mimi ni katoliki na sijaenda kanisani miaka miwili Sasa,
Siku hizi Kuna ukiritimba mwingi sana haswa wa michango
 
Amina mtumishi!
 
Angalau umeanza kupata akili bwana Mondray.
 
Wahi kanunue udongo kwa Mwamposa mkuu ili anunue ndege
 
Wasi- prioritize material things. Too badal they can't do that
Kwa ufahamu wangu kuhusu kanisa katoliki, kwanza halitoi baraka/maombi kulingana na kipato chako,haliuzi maji/udongo au chochote,lakini kubwa zaidi unatoa kadri ya uwezo wako, as long as unashiriki kikamilifu katika shughuli za jumuiya na kanisa,utapata huduma sawa na tajiri.


Hata uwe tajiri vipi na hushiriki kikamilifu na kufuata taratibu hakuna atakaekuzingatia
 
Kwendraaaaa !! Hili kanisa lina miaka 2000 na ndiyo kanisa takatifu la mitume

Ondoka nenda kwa mzee wa upako au Gwajima ukatapeliwe au nenda Efatha na mkeo akalalwe na Mwingira
 
Mi wanapo nikwaza Wakatoriki ni Ibada ya
Kuisujudia Sanamu ya Kike tu:
Kwakweli wananikwaza sana hata Sina hamu:
Hii na Karne ya Kizazi kipya:
Siwezi kuisujudia Sanamu ya Kike ya SIMENTI kamwe
Kwanini unatunza picha ya babu yako au mama yako kwenye album au ukutani
 
Wewe ni mshenzi ,mkatoliki wa nioko , unafikiri Catholic ni Kama makanisa ugoro hayo vibaraka wa samia mbwa takataka ,hebu let's kanisa nchi hii lenye mvhango kwa Jamii kwenye elimu ,afya na kusaidia yatima na vilema + wasio jiweza tena zipo taasisi Kabisa za kikatoliki zinazofanya hili , kanisa lako hilo unalotoa sadaka kumtunuku mchungaji nabii feki na vimada wake mbwa wewe ......Hi I Leo hii wakatoliki wakiamua kufubga vituo vya afya ,hospitali , shule ,vyuo vikuu , vituo vya kulelea yatima nk hili li nchi Lenu shithole si mnarudi zama za mawe mbwa ninyi ?,Acha unafiki wewe shehe bwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…