Nafikiria kuhama Catholic

Nakushauri ujitoe haraka sana
Utakuwa free
achana kabisa na mambo ya dini ni utapeli tu
Hujachelewa fanya maamuzi sahihi!
 
Mi wanapo nikwaza Wakatoriki ni Ibada ya
tu:
Kwakweli wananikwaza sana hata Sina hamu:

Hii na Karne ya Kizazi kipya:
Siwezi kuisujudia Sanamu ya Kike ya SIMENTI kamwe
Anayepaswa kukwazika ni Mungu mwenye kiumbe chake mkuu wewe amini unavyoamini wewe waache waamini wanavyoamini wao as longer as hawajaja kukuzuia kuamini unachokiamini.
 
Kuna mambo ya msingi ya kuthamini wanaotoa zaidi ya utu wao uko sahihi kabisa.

Usikilizwe unahoja nzuri
 
Wasi- prioritize material things. Too badal they can't do that
Nahisi hujanielewa
Namaanidha utaje vitendo specifically wanavyofanya ambavyo unaona ni kuprioritize material things
Na badala yake wafanye vitendo vipi ili ionekane wanathamini hivyo unavyoona hawavithamini
Namaanisha vitendo specifically
 
Mkuu umechelewa sn kugundua udhaifu wa kanisa letu pendwa na lililotulea kwa misingi ya imani na upendo, mm kiimani ni mkatoliki wa kubatizwa na nmewahi kuwa mtumishi pale kanisani nikitumikia, lkn nilikuja kulikataa kanisa katoliki kwa sababu ambazo hazitofautiani sana na hizo ulizozitaja wewe, kwasasa nasali kanisa la walokole, ni kanisa fulani ambalo kiukweli ukiliona unaweza kucheka mana hata kulifunika hatujalifunika, ukipita nje unatuona, lkn ni kanisa ambalo pesa sio kipaumbele bali imani uliyonayo kwa Mungu. Katoliki ni kanisa ninalolipenda Sana mpaka hapa napoongea na wewe bado natamani kwenda kanisani but tangu wazungu wawaachie waswahili haya makanisa yamekuwa hovyo sn, msingi mkubwa ni sadaka.
 
Kulikuwa na haja ya kuweka bango hapa ? Haya ni mambo yako binafsi na kiimani, hayatuhusu
Acha ushamba Jombis , unampangia vipi mtu cha kupost Jf na wapi kavunja sheria mbona mada nzuri sana ya kutaka ushauri ?
 
kwani wakati unahamia ULITUAMBIA! wewe sepa zako hakuna muRC anayekujuwa wala kubabaishwa na wewe!
Hamia DINI ya WAUWAJI WA HALAIKI WA TANZANIA
Mbn unajibu kwa hasira sana as if unamjua mtoa mada?
 
Katoliki kwa sasa ni kanisa la kipigaji, tunatakiwa kustuka na kuwaambia ukweli, wanapotupeleka sipo.
 
Nimefurahi kwamba unajali Spiritual Awakening. In that case,be neutral,teta na Roho wa Mungu akuongoze ili ushike lililo HAKIKA kwa mujibu wa Mzani wake!
 
Namimi nilitaka nimpe ushauri huu
Katoliki limekuwa kanisa la kipuuzi sana, baada ya wazungu kutoka na kuwaacha waswahili imekuwa issue ni pesa tuu, kuna baadhi ya makanisa unakuta sanduku la sadaka la kioo kwamba unachotoa kinaonekana, mana ake nn sasa huu ujinga? Mm niliacha kwenda kanisani kabisa.
 
Yaani mtu ana PhD
Halafu anaisujudia Sanamu ya KiKE ya SIMENTI kweli ndio hivyo...!😭😭😭😭
Mnamsingizia sana Mama wa Yesu na yeye hataki mufanye hivyo:
Huu ndio UKWELI
Hapo ishu sio kuwa na PhD ishu ni kuwa na macho yanayoona!
 

Kutoka 20:4 SRUVDC​

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Biblia haisomwi kama kitabu cha hadithi. Ukisoma kama kitabu kama kitabu cha hadithi utaona kimejaa contradictions. Ufahamu kuwa karibia kila andiko lililopo katika biblia, lina mazingira yake, kufuatana na hali iliyokuwepo kwa nyakati hizo.

Ukisoma kama kitabu cha hadithi unaweza kuishia kwenye mambo ya ajabu yaliyo kinyume kabisa na ne o la Mungu:
Unaona andiko kama hili:
1 Kor 14:34
Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
Ukisoma biblia kama kitabu cha hadithi si utaishia kusema wanawake wamezuiwa kusema chochote ndani ya kanisa, yaani wasisali, wasiimbe, wasihubiri wala kutangaza?
Kuelewa hasa kilichokusudiwa katika andiko la Biblia kunahitajika sana kuelewa mazingira ya agizo, tafsiri kutoka andiko asilia, na maana ya kuabudu. Usipoyajua hayo utakurupuka na vitu vya ajabu. Ufahamu kuwa kuna Encyaclopedis kwaajili ya ufafanuzi wa kila mstari wa biblia.

Unachotamiwa kufahamu ni kuwa imekatazwa kuitengeneza sanamu na kuifanya Mungu wako,ukaiabudu. Wote wanaoitwa wakristo, hakuna walio na sanamu miungu.
 
Makanisa yote ni vilevile hakuna utofauti, mwenye nacho hupewa kipaumbele zaidi.
 

Ulivyoondoka, kuna aliyekuja kukulilia? Kwa nini unahangaika? Si umekwishaondoka, kaa huko huko, kwani una ndugu zako huko Katoliki walioshikiliwa kwa pingu?
 
Kwa hiyo huyu mleta mada ana Jambo lake moyoni dhidi ya TEC au sio?🤣🤣🤣
 
Acha uwongo, acha
Hahaa Ni ngumu sana asikuambie mtu kuhama imani uliyozaliwa na kukulia humo.

Unajua kwanini vijana watumikiaji kanisani hua wanakuja kua wasiosali kabisa??
They knew a lot
Ukitaka kufaidi Catholic usitake kujua yaendeleayo ndani

kutisha watu kwa hadithi za uwongo. Ebu tuwekee hayo ambayo unayajua wewe kuhusu Kanisa Katoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…