Nafikiria kufanya maamuzi magumu

Nafikiria kufanya maamuzi magumu

wewe naona umekapture kitu tayali,

mimi ni muha, mwenzangu ana maisha ya kawaida ila mazuri na nimemzidi elimu, ila he is very intelligent ni vile tu wazazi wake hawakuwa na hela za kumpeleka shule, bt ni noma very wise na mipango kedede[/QUOTE]

napita zangu
 
Kuna makabila mengine hata km kijana wangu anataka kuoa huko aisee nitamkana kabisaaaa....mfano kabila la...???
 
afu yakikukuta ya kukukuta unarudi kwa wazazi.....

sidhani kama kuna uharaka sana katika jambo hilo.......hata kama ndoa ni ya wawili baraka za wazazi ni za muhimu sana......ridhiko la wazazi juu ya mpango wako ni jambo jema.....na ukumbuke wazazi ni badala ya Mungu hapa duniani.....usiwapuuze....
 
Kuna makabila mengine hata km kijana wangu anataka kuoa huko aisee nitamkana kabisaaaa....mfano kabila la...???

hii umenikumbusha kitu....baba yangu alinawa mikono mbele yangu kama nitaolewa na kabila fulani.....na dini fulani....aliniambia ukikiuka hapo hautakuwa mwanangu tena.....na nanawa mikono mbele yako....
 
Tanzania hatuna ukabila, lakini ktk kuoa ni mhimu sana hilo kuliangalia kwa jicho la3....

Yapo baadhi ya makabila mke ni mwiko kutokuwa na machepuko...😕
 
wewe naona umekapture kitu tayali,

mimi ni muha, mwenzangu ana maisha ya kawaida ila mazuri na nimemzidi elimu, ila he is very intelligent ni vile tu wazazi wake hawakuwa na hela za kumpeleka shule, bt ni noma very wise na mipango kedede
akhsante dada ndo maana nikaitwa great thinker,
sasa hapo kama ni hivyo kweli itakuwa shida,
nakushauri uwaeleweshe mara ya mwisho wazazi wako
ila wasipokuelewe plz move on na mipango yenu
ila mawazo yangu changanya na ya kwako
 
Tanzania hatuna ukabila, lakini ktk kuoa ni mhimu sana hilo kuliangalia kwa jicho la3....

Yapo baadhi ya makabila mke ni mwiko kutokuwa na machepuko...😕

sasa hilo kabila ambalo nilikatazwa...wao wana utamaduni ambao ulimtesa sana shangazi ambae ni dada wa baba....ndiyo hapo baba akakataa katakata......
 
sasa hilo kabila ambalo nilikatazwa...wao wana utamaduni ambao ulimtesa sana shangazi ambae ni dada wa baba....ndiyo hapo baba akakataa katakata......
baba yako alikosea........thats stereotype yaani makosa ya mwingine yanajenga imani mbaya na kwa kizazi kingine
 
sasa hilo kabila ambalo nilikatazwa...wao wana utamaduni ambao ulimtesa sana shangazi ambae ni dada wa baba....ndiyo hapo baba akakataa katakata......

Kuna kabila moja jamaa ni wakorofi sana, mwaka jana nilisoma habari gazetini, jamaa mke wake mjamzito, akaenda nae shamba akaanza kumpasua tumbo eti anataka kuangalia mtoto anavokaa akiwa tumboni😕
 
baba yako alikosea........thats stereotype yaani makosa ya mwingine yanajenga imani mbaya na kwa kizazi kingine

si unajua wababa wanavyowapenda binti zao.....alidhani nami nitateseka kama dada yake.....ndiyo hofu yake.....
 
Kuna kabila moja jamaa ni wakorofi sana, mwaka jana nilisoma habari gazetini, jamaa mke wake mjamzito, akaenda nae shamba akaanza kumpasua tumbo eti anataka kuangalia mtoto anavokaa akiwa tumboni😕

dah......mama wa watu akafa maskini....
 
Wazazi wetu ndio wa kwanza kuliona jua kabla yetu kwa hiyo wanayafahamu mambo mengi ya ulimwengu kuliko sisi likiwamo hilo la mapenzi kwani katika kipindi cha maisha yao hadi kufikia hapo walipo, walishapitia mambo mengi ya misukosuko ya ulimwengu na walishapata taabu nyingi sana za ulimwengu na ndio maana leo hii tunafaidi busara zao na kwa kutumia uzoefu wao kwenye ulimwengu huu wanatuelekeza njia za kuishi ili maisha yetu yawe na ustawi bora...tusichokijua ni kuwa wazee wetu nao hapo mwanzo walikuwa vijana kama sisi na waliwahi kuwa katika mahusiano kama sisi na wakaumizwa na mapenzi kama sisi....kwa hiyo katika mambo tunayoyafanya leo hakuna jipya kwao ni kama tunayarudia tu yale waliokuwa wakiyafanya wao......na kwa udhoefu walionao kwenye ulimwengu wamegeuka kuwa walimu wazuri kwetu kama tukiamua kufuata mafunzo yao kwa umakini...kwa uzoefu walionao wanaweza kutambua tabia ya mtu hata kwa kumuangalia tu.....na ndio maana wazee wetu walikuwa wakiwachagulia wake vijana wao wa kiume na ndoa zikadumu mpaka leo hii tunashuhudia babu na bibi zetu wakizeeka pamoja kwani wanajua tabia njema ndio silaha na wala sio uzuri wa sura wala umbo...nina uhakika kuwa hao wazazi wako hawawezi wakakupeleka wewe sehemu mbaya kwa sababu wanakupenda na ndio maana wakakulea hadi kufikia hapo ulipo....wazazi wako watakuwa wameona kuna kitu ambacho si kizuri kwa huyo mpenzi wako...lakini wanaogopa kukwambia kwa kuwa huwezi kuwaelewea kwani wewe hapo ulipo unaongozwa na hisia kuliko uhalisia wa jambo lenyewe.....nakushauri kaa chini ongea na wazazi wako kwa hekima na utapata muafaka wa jambo lako kwani imeandikwa kuwa tuwaheshimu baba na mama zetu ili tupate kuishi miaka mingi hapa duniani......TAFAKARI CHUKUA HATUA.........
 
sasa hilo kabila ambalo nilikatazwa...wao wana utamaduni ambao ulimtesa sana shangazi ambae ni dada wa baba....ndiyo hapo baba akakataa katakata......

Taja hilo kabila ili wengine wajihadhari nalo.

Au ni lile kabilA maarufu hapa Tanzania?
 
hii umenikumbusha kitu....baba yangu alinawa mikono mbele yangu kama nitaolewa na kabila fulani.....na dini fulani....aliniambia ukikiuka hapo hautakuwa mwanangu tena.....na nanawa mikono mbele yako....
si useme wanaume wa kihaya tu,wanaume wakihaya ni balaa na wanawake wa kichaga nibalaa zaidi,achana na huyo mwanume utakuja kujuta ,huyo sio nduguyo ndugu ni wazazi wako
 
yani dada wazazi wetu wanaona mbali sana kuna kisa cha kweli kwa mtu wangu wa karibu
usithubutu kuhamia kwake nakushauri
 
Back
Top Bottom