Nafikiria kufanya maamuzi magumu

Nafikiria kufanya maamuzi magumu

wewe nawe humalizii story sijui unajinyonga!!!!!!!!!!

acha uduvya eti uhamie kwa mwanaume bila ridhaa ya wazazi ha ha ha ha unajua wanaume au unawasikia???? kaa na wazazi wakueleze kwann hawamtaki huyo mwanaume/wameona/wamehis/au wanajua nn juu ya huyo jamaa...

waheshmu wazazi wako upate miaka mingi
 
afu yakikukuta ya kukukuta unarudi kwa wazazi.....

sidhani kama kuna uharaka sana katika jambo hilo.......hata kama ndoa ni ya wawili baraka za wazazi ni za muhimu sana......ridhiko la wazazi juu ya mpango wako ni jambo jema.....na ukumbuke wazazi ni badala ya Mungu hapa duniani.....usiwapuuze....

Sister ubarikiwe sana na hata maziwa uliyonyonya yabarikiwe. Umechagua fungu jema. Asante sana.
 
habari za hapa,

mimi ni binti age 26yrs nafanya kazi ktk kampuni fulani hapa Dar, nina mchumba wangu tulipanga kuoana tangu mwaka jana nilipopeleka taarifa home wazazi wakawa wagumu kwa sababu nyingi sana ambazo kimsingi sijaona kama zina umuhimu sana. mambo yakawa magumu na hatimaye tukakubaliana mimi na mchumba wangu tusubiri hadi mwaka huu.
Sasa mwaka ndo huu umefika bado naona mambo c shwari sana. sasa tumepanga na huyu mtarajiwa kama watagoma nihamie kwake tu, sio siri hapa nina hali mbaya sana kimawazo,.

badae kidogo nitawaeleza kuhusu hili suala langu vizuri ili mnipe ushauri. ila sio siri nina waza kufanya maamuzi magumu sana yani mimi nihamie tu kwa mwanaume na hali nimewashemu wazazi, ila leo wao wananifanyia hivi.

pole ya mimi. soon nitwaeleza mwanzo mwisho.

wewe ni mhemuko ndio unaokusumbua na hii mihemuko yenu ndiyo inafanya baadae mna anza kulaumu.
 
si useme wanaume wa kihaya tu,wanaume wakihaya ni balaa na wanawake wa kichaga nibalaa zaidi,achana na huyo mwanume utakuja kujuta ,huyo sio nduguyo ndugu ni wazazi wako

haya yamemkuta mdogo wetu....hali yake mbaya sasa hivi mpaka anatia huruma.....sasa dada yetu mkubwa anasemaga hataki kumwona mtu anaolewa na hilo kabila......maskini mdogo wetu anatia huruma.....
 
haya yamemkuta mdogo wetu....hali yake mbaya sasa hivi mpaka anatia huruma.....sasa dada yetu mkubwa anasemaga hataki kumwona mtu anaolewa na hilo kabila......maskini mdogo wetu anatia huruma.....
kama wananichukia na wanichukie ila wanaume wa kihaya wana gubu,wivu,ubinafsi mfumo dume uliotukuka hata kitchen party hawawaruhusu wake zao kwenda
 
hiki kipolo naona kisha chacha...mtoa post kajigeuza Yesu party two inasubiriwa km mvua jangwani
 
fundichupi njoo huku

Kamwe kamwe narudia tena kamwe usije ukwaapuuzia wazazi wako, kamwe usifanye hivyo hata kama umesoma ukawapita, amini wanajua mengi kuliko wewe. Una elimu ya vitabu wana elimu ya uzoefu. Kamwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom