Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 53
Sawa mkuuSubiria nimalizie kula mkuu
Mkuu nilishawahi kuishi Malawi miaka Fulani,Malawi ni mfano wa nchi maskini Duniani,kwanza hapo Lilongwe hakuna tofauti na mkoa wa Lindi kama umeshawahi kufika,hizo road blocks zake ni kila baada ya km 15,wamalawi kila kukicha wanakimbilia South Africa, mkuu bora uishi chato kuliko MalawiNafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara
Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya
1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula
2.Lugha gani kuu
3.Miji gani ni mizuri kutembelea
4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na mataifa mengine maana msumbiji ni balaa muda wowote wageni mko hatarini
5.Kutoka songea hadi mji wa karibu huko malawi Niandae nauli kiasi gani
NB Kama nitafahamishwa bajeti ya jumla kutoka songea hadi malawi ntashukuru sana
😂😂😂😂Mkuu nilishawahi kuishi Malawi miaka Fulani,Malawi ni mfano wa nchi maskini Duniani,kwanza hapo Lilongwe hakuna tofauti na mkoa wa Lindi kama umeshawahi kufika,hizo road blocks zake ni kila baada ya km 15,wamalawi kila kukicha wanakimbilia South Africa, mkuu bora uishi chato kuliko Malawi
Maana ni jehanam iliyoko Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu uzi haujajitosheleza nimeusoma
Kwa kutokea kyela ni 30,000Tsh au 9000+MwK. Chakula ni bei ya kawaida kutegemeana na hadhi yako. Hotel kwa mji wa Lilongwe ukiingia eneo laitwa devil street (sijui kwann wameita hivi) utapata hotel, kama watokea kyela na bus la Malawi wanaposhusha abiria ndipo hotelini.Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara
Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya
1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula
2.Lugha gani kuu
3.Miji gani ni mizuri kutembelea
4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na mataifa mengine maana msumbiji ni balaa muda wowote wageni mko hatarini
5.Kutoka songea hadi mji wa karibu huko malawi Niandae nauli kiasi gani
NB Kama nitafahamishwa bajeti ya jumla kutoka songea hadi malawi ntashukuru sana
Sawa mkuu najipangaKwa kutokea kyela ni 30,000Tsh au 9000+MwK. Chakula ni bei ya kawaida kutegemeana na hadhi yako. Hotel kwa mji wa Lilongwe ukiingia eneo laitwa devil street (sijui kwann wameita hivi) utapata hotel, kama watokea kyela na bus la Malawi wanaposhusha abiria ndipo hotelini.
Sijajua mzunguko wao wa pesa. Ila mji wao wa kibiashara ni Blantyre nadhani hapo ndo penye mzunguko bora wa pesa.
Kambi popote Mkuu.
Na vipi ubaguzi hawana watu wa huko maana Mozambique mgeni ni kama gaidiSawa mkuu najipanga
Lugha gani inatumika kwa mawasiliano?Mkuu nilishawahi kuishi Malawi miaka Fulani,Malawi ni mfano wa nchi maskini Duniani,kwanza hapo Lilongwe hakuna tofauti na mkoa wa Lindi kama umeshawahi kufika,hizo road blocks zake ni kila baada ya km 15,wamalawi kila kukicha wanakimbilia South Africa, mkuu bora uishi chato kuliko Malawi
Maana ni jehanam iliyoko Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuHuku mkuu hakuna maisha, Mimi nilienda huku 2013 maisha yako chini sana, nilikuwa mapumziko ya likizo. Hapako poa Sana na Wala hawana ubaguzi
Lugha gani inatumika kwa mawasiliano?Mkuu nilishawahi kuishi Malawi miaka Fulani,Malawi ni mfano wa nchi maskini Duniani,kwanza hapo Lilongwe hakuna tofauti na mkoa wa Lindi kama umeshawahi kufika,hizo road blocks zake ni kila baada ya km 15,wamalawi kila kukicha wanakimbilia South Africa, mkuu bora uishi chato kuliko Malawi
Maana ni jehanam iliyoko Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha gani inatumika kwa mawasiliano?