Umkontho we Sizwe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 497
- 466
Mpaka mini biblia itakuwa kifuniko cha mabaya yanayoendelea duniani?????
Ulaya wakati ukiristo ulikuwa msingiView attachment 684144
mkuu ingekua dunia imeyafuasa, kuyatunza, na kuyaishi Mafundisho ya Yesu dunia ingekuwa mahali pazuri pa kuishi hizo picha za uchi uchi Yesu anasema Tumuige yeye ili kuua tamaa zetu za mwiliUlaya ya sasa baada yaView attachment 684145 View attachment 684146 View attachment 684145 View attachment 684146 ukiristo kuuliwa na wayahudi
Kwa nini mungu Mwenye upendo Mwenye kuwapenda watu wake afanye mambo ya siri yasio wape yaani ya mafumbo? Hiyo ni kweli!!Pia sifa ya mungu ni kufanga mambo ya tofauti na mawazo ya wanadamu.
Angekuwa anafamya mambo sawa na wanadam basi asingefaa awe mungu.
Ila sifa yake ni kufanga mambo nje ya sayansi na akili za wanadam ili wateuli washangae na waamini.
Wakupotea washangaa na waweke hoja.
fantasia kibaya zaidi mambo haya ni zaidi ya unavyofikilia...unajipotosha mwenyewe...historia na uchunguzi wa kisayansi wamefanikiwa hadi kupata nyaraka za kale kuhusu bible....maeneo pia yapo hadi leo mfano babeli, pia kisa cha wana wa isslael kuvuka bahari ya sham kwa miguu ipo wazi kabisaa kwani farao aliyejaribu kuwafuata kama bible inavyosema na kuangamizwa baada ya Mungu kuyaruhusu maji yarudi umepatikana na ulikutwa na mchanga wa bahari tumboni ikumbukwe wa misri walikua na tamaduni ya kuhifadhi miili ya wafalme.. Yesu alikuja na akafa pia kufufuka na ndio maana ukilitaja jina lake mapepo yanakimbia hujiulizi tu...mbona mifano ipo dhahiri,,,, hujiuliz n kwa nn pia miaka huitwa mfano 2000BC Haushituki tuu....CHAV KUKUSAIDIA AMUA KUISHI MAISHA MATAKATIFU NA UAMINI YUPO ZEN UONE ATAKAVYO JIDHIHIRISHA KWAKO..MIMI NMEMUONA NA KAJIDHIHIRISHA KWANGU XO SIONI HASARA... NA JEHANAM IPO NA YESU ATAKUJA AMINI USIAMINI...USIPO WAAMINI WAHUBIRI NA KUPOTEA KTK UJUZI WAKO NA ELIMU YAKO UTAANGAMIZA ROHO YAKO ...MAMBO HAYA YA KIMUNGU HAYAKO KATIKA UJUZI NA HEKIMA ZA KIBINADAM BALI NI KTK ULIMWENGU MWINGINE WA ROHO NA NDO MAANA UKIENDA KIMWILI UTAONA NI UPUUZII TU...NA KUHAKIKISHIA YESU YUPO NA SIKU MOJA UTAPIGA MAGOTI MBELE YAKE NA HAUTAPINGA KM YESU YUPO... ISSLAELI IMEANDIKWA KWENYE BIBLE KUWA ITAKUA NA NGUVU SANA LAKINI ITASHINDWA ISIPOMTII MUNGU,, LEO HII WEWE NI SHAIDI KUWA ISSLAEL HAISHINDWI NA NCHI YOYOTE ILE KWA HAKILI NA TECNOLOGIA ,,NA MWAKA 1967 WALIPIGANA VITA YA SIKU 6 WAKASHINDa kiajabu i mean kimuujiza tu...kuna ushahid mwingi bible ndio kweli kwani imetabiri mambo ya mwisho tunayoyaona...hivyo basi ni bora ukaamini tu uokoe nafsi yako kwani hata kama yesu au mungu akisema aje leo hutamwamini...Mara Mnasingizia shetani, mara mnangojea masihi arudi, lakini hatorudi kwani ni uongo hakuwepo,hakuzaliwa, hakuishi, hakufa, hakufufuka, anarudi vipi??????
Mara Mnasingizia shetani, mara mnangojea masihi arudi, lakini hatorudi kwani ni uongo hakuwepo,hakuzaliwa, hakuishi, hakufa, hakufufuka, anarudi vipi??????
kubali usaidiwe rafiki...yesu yupo na kajidhihirisha kwetu...mambo haya ni kuamini na kuishi maisha matakatifu ndo unaujhua ukweli,,,sisi sio eti ni vichaa tunao uhakika...wanahistoria flani walipochimba maeneo flani yaliyomo kwenye bible walifanikiwa kupata hata nyaraka zilizo kwenye bible...maeneo mengi yanayotajwa kwenye bible yapo hadi leo mfano babiloni ya nebchadnezer...Ushahidi gani zaidi mnataka, kila kitu kinajulikana biblia ni ngano za wayahudi
Hujui wewe ndugu.....
Umeishia hapo tu kufikiri!! duh jaribu kuwaza hivi ulishawahi kufikiri kwamba ni nini kilichomfanya mungu kutengeneza dhambi kisha akaamuru watu wasifanye dhambi nini lengo lake kuitengeneza dhambi.kubali usaidiwe rafiki...yesu yupo na kajidhihirisha kwetu...mambo haya ni kuamini na kuishi maisha matakatifu ndo unaujhua ukweli,,,sisi sio eti ni vichaa tunao uhakika...wanahistoria flani walipochimba maeneo flani yaliyomo kwenye bible walifanikiwa kupata hata nyaraka zilizo kwenye bible...maeneo mengi yanayotajwa kwenye bible yapo hadi leo mfano babiloni ya nebchadnezer...
siwezi kuokota maji yaliyo kwisha mwagika.. hakuna Mafundisho yaliyo Kamilika ni ya Yesu tu. Philipians 1:21Ndio naendelea, tena amani na furaha tele tangu niliporejea mbuyuni kwa bibi na babu zangu, tunawasubiri wote mjiunge nasi
Sijaona ubishi wowote zaidi ya hoja thabitiMkuu tatizo unapenda uonekane ni mbishi humu Jf kuliko wote na hakuna anayekuweza,na ndiyo maana mie niliamua kusema kuwa tumeshindwa kuelewana ili tusifike huku. Hakuna hata sehemu niliyoeleza ninachoamini wala nisichoamini ila nashangaa haya ya mimi kukumbatia contradiction hata sijui yamefikaje!
Mkuu basi yaishe mshindi ni wewe hakuna anayekuweza kwa kubishana humu.
Nyaraka gani, watu wamegushi historia kuficha uwongo wa kidini, stories nyiiingii no evidenceUmeishia hapo tu kufikiri!! duh jaribu kuwaza hivi ulishawahi kufikiri kwamba ni nini kilichomfanya mungu kutengeneza dhambi kisha akaamuru watu wasifanye dhambi nini lengo lake kuitengeneza dhambi.
Uwongo mtamu, lakini takwimu za race yako na bara lako zinasimulia hadithi tofautisiwezi kuokota maji yaliyo kwisha mwagika.. hakuna Mafundisho yaliyo Kamilika ni ya Yesu tu. Philipians 1:21
Dini asilia ya binadamu, iliyopotoshwa na weupe kuwa uislamu na ukiristoKwahiyo kuna dini ya watu weusi na watu weupe?
God has nothing's to with the Bible and Quran....Wala si mtunzi wake. Wala hakuwaagiza watungeHuwezi kumuelewa mungu kwa sayansi kamwe.
Madhehebu hayakuamini biblia wakajiwekea vitabu vyao vya theology.
Hivyo ndivyo vita fail.
But not that holy word of God.
Tunaona mambo yaliyosemwa zaman yakitimia sasa.
Uzuri mungu ni kwamba yeye anayaficha mambo yake kiasi kwamba mwanadam hawezi kuyajua mpaka mungu mwenyewe amfunulie ukweli.
Alificha siri ya dunia uumbaji. Sayansi na vifaa vyake vikasoma miaka mamilioni iliyopita.
Vifaa vyao haviwezi kusoma kabisa anavipoteza.
Ilikiwa miaka 7000 tuu.
Nq mengine mengi. Hayo yananifanya nisimwamini mwanadamu kamwe leo atakuambia hivi na sayansi yake kesho anabadilisha.
Leo kifaa hiki kesho wanasema hakikuwa precious.
Lete ushahidifantasia kibaya zaidi mambo haya ni zaidi ya unavyofikilia...unajipotosha mwenyewe...historia na uchunguzi wa kisayansi wamefanikiwa hadi kupata nyaraka za kale kuhusu bible....maeneo pia yapo hadi leo mfano babeli, pia kisa cha wana wa isslael kuvuka bahari ya sham kwa miguu ipo wazi kabisaa kwani farao aliyejaribu kuwafuata kama bible inavyosema na kuangamizwa baada ya Mungu kuyaruhusu maji yarudi umepatikana na ulikutwa na mchanga wa bahari tumboni ikumbukwe wa misri walikua na tamaduni ya kuhifadhi miili ya wafalme.. Yesu alikuja na akafa pia kufufuka na ndio maana ukilitaja jina lake mapepo yanakimbia hujiulizi tu...mbona mifano ipo dhahiri,,,, hujiuliz n kwa nn pia miaka huitwa mfano 2000BC Haushituki tuu....CHAV KUKUSAIDIA AMUA KUISHI MAISHA MATAKATIFU NA UAMINI YUPO ZEN UONE ATAKAVYO JIDHIHIRISHA KWAKO..MIMI NMEMUONA NA KAJIDHIHIRISHA KWANGU XO SIONI HASARA... NA JEHANAM IPO NA YESU ATAKUJA AMINI USIAMINI...USIPO WAAMINI WAHUBIRI NA KUPOTEA KTK UJUZI WAKO NA ELIMU YAKO UTAANGAMIZA ROHO YAKO ...MAMBO HAYA YA KIMUNGU HAYAKO KATIKA UJUZI NA HEKIMA ZA KIBINADAM BALI NI KTK ULIMWENGU MWINGINE WA ROHO NA NDO MAANA UKIENDA KIMWILI UTAONA NI UPUUZII TU...NA KUHAKIKISHIA YESU YUPO NA SIKU MOJA UTAPIGA MAGOTI MBELE YAKE NA HAUTAPINGA KM YESU YUPO... ISSLAELI IMEANDIKWA KWENYE BIBLE KUWA ITAKUA NA NGUVU SANA LAKINI ITASHINDWA ISIPOMTII MUNGU,, LEO HII WEWE NI SHAIDI KUWA ISSLAEL HAISHINDWI NA NCHI YOYOTE ILE KWA HAKILI NA TECNOLOGIA ,,NA MWAKA 1967 WALIPIGANA VITA YA SIKU 6 WAKASHINDa kiajabu i mean kimuujiza tu...kuna ushahid mwingi bible ndio kweli kwani imetabiri mambo ya mwisho tunayoyaona...hivyo basi ni bora ukaamini tu uokoe nafsi yako kwani hata kama yesu au mungu akisema aje leo hutamwamini...
SI mchezo, muyahudi huyo Mungu wenu????????!!!!!!Hiyo kama ulivyo sema ni sala na Madhumuni kumpwekesha Mungu View attachment 684062 View attachment 684063 mkuu ilimu yako kuhusu Imani/deen ni ndogo sana na huna kosa ilaha wa kulaumiwa ni kungwi yako aliye kufunda somo la kumjua Mungu hana Sifa wala Mamlaka ya kufundisha hilo somo hivyo nakualika uje madrasat nuur bahar jannat kwa shehe kidevu kwa Mtogole upate ilimu ghaibu kisha Umjue Mungu Ukuu, Uweza, na Maajabu yake Makuu ambayo akili ndogo za binadamu haziwezi kuyatafsir...ni-pm mkuu kwa maelekezo
Mungu akampe mimba mwanamke wa kiyahudi, porojooooNi kweli kabisa kila race duniani inayojitambua ina namna yake ya kuabudu,waafrika hatuna tena baada ya kutawaliwa na wazungu
Kuna upande mnaamini binadamu ni mnyama na ila kapewa utashi kuliko wanyama wengine eti,sasa kwanini dhabi au amri kumi awekewe binadamu tu wanyama wengine mbuzi,ngombe,n.k. wasihusike?Nyaraka gani, watu wamegushi historia kuficha uwongo wa kidini, stories nyiiingii no evidence
Biblia na Quran makalio tofauti ya msamba uleuleBiblia pekee hiyo Qur'an ni ya marehemu mudi
Imani asilia tnaheshimu Kila kiumbe Ni mfano wa MunguKuna upande mnaamini binadamu ni mnyama na ila kapewa utashi kuliko wanyama wengine eti,sasa kwanini dhabi au amri kumi awekewe binadamu tu wanyama wengine mbuzi,ngombe,n.k. wasihusike?