Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 738
- Thread starter
- #2,021
Mimi sijakuelewa aiseeUelewe kwamba wema au uovu hauna mpaka wa taifa, kabila, lugha, rangi, wala jinsia...kama umerithi mema toka kwa walio tangulia, kuyatunza, na kuyaishi iweje ukaririshwe ujinga na wajinga jee hukufundishwa na waliokutangulia kwamba kuna uovu/ujinga? kama ndivyo, ulicho kipokea kina mapungufu! ima wewe mwenyewe una mapungufu na dhamira njema imejifia na kujaza mukichwa uzwazwa tu