Ushahidi gani zaidi mnataka, kila kitu kinajulikana biblia ni ngano za wayahudiHatuwezi kuprove wakati wewe unafikiria utakapokuwa na uhakika ni maandishi ya wanadamu njoo tukupe dalili kuwa ni kutoka kwa Mungu
Kufufua wafu???? Nyoka wanaongea???? Tunda LA katikati????Hatuwezi kuprove wakati wewe unafikiria utakapokuwa na uhakika ni maandishi ya wanadamu njoo tukupe dalili kuwa ni kutoka kwa Mungu
Ndio naendelea, tena amani na furaha tele tangu niliporejea mbuyuni kwa bibi na babu zangu, tunawasubiri wote mjiunge nasisawa aendeleze ibada yake..
Asante ndugu kwa mawazo mazuriNimesoma hii issue nikatamani nitoe wazo langu pia...
Mimi n mkristo mkatoliki ambae na imani...
Sasa kwa mtu asie jua kitabu ambacho kinaelezea neno la mungu huwa kama huyu jamaa alie weka post hii...
Bible ni kitabu kinachoelezea neno la mungu kwa wanadamu...nadhan Qura'n pia ni hivyo hivyo...
Kwa akili ya kawaida tusiongelee imani... Maisha ya binadamu na mambo anayo yafanya sasa hivi na ata aliyo yafanya yanajieleza ktk Bible sasa tunasema ni neno la mungu kwa Sababu ili neno limemuelezea babu yako baba, mama yako na ata ww kwa kipindi kilicho pita cha sasa hivi na kinachokuja... Sasa ukifikilia kwa wepesi utapata majibu laini laini tu...
Ktk Bible maandiko yalio andikwaa ujielezea yenyewe na kama unakose au kupotosha yanaonesha haya danganyii...mfano huyo nabii tito anaoneka chizi n sababu tu anatafakari kiwepec wepec yan laini Kabisa...
Ndugu yangu kama una mwamini mungu bac unaamini ktk ukwel haki na hivyo bac kama unaona watu Walio andika Bible ni waongo kama umesoma ata darasa moja jaribu kukataa 1+1=2 utaona kama utaweza kuyaisha yale unayo taka kuyafanya... Usijaribu kupima uwezo wa kwako na ata kwa mwingine ni waajabu uwezo wake...
kweli ndio mungu mwenyew ambae anafanya mimi na ww tunaweza ishi na kukaa pamoja nyakati hizi huo Ndio ukwel...
Amina ndugu bwana akubariki sanaUtajua kwamba Biblia imeandikwa na Roho Mtakatifu kwa sababu zifuatazo:
1. Biblia haipingani
2. Mtiririko wa wazo ni mmoja ijapokuwa waandishi ni wengi walioishi vizazi tofauti, nchi tofauti, mahali tofauti karne tofauti.
3. Neno liiloandikwa lina unabii uliotimilika ingawa ulitolewa miaka mingi nyuma.
4. Neno la Mungu katika Biblia limekuwa na uwezo wa kubadili maisha ya watu wengi walipoiamini.
Zpo dini za kutengeneza na vitabu vya wanadamu kujitungia wenyewe na kuviita "Maandiko matakatifu", lakini si Biblia.
Nimesemea Biblia wenye vitabu vyao vingine wavisemee vya kwao.
Pasipo ushahidi wowote wa kihistoria, hivi sanduku LA agano, fimbo ya musa vilipoteleaga wapi???Amina ndugu bwana akubariki sana
Mathayo 11:25-26Pasipo ushahidi wowote wa kihistoria, hivi sanduku LA agano, fimbo ya musa vilipoteleaga wapi???