salim kimosa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 390
- 362
mdogo wangu amesoma diploma ya IT katika Chuo cha Sinon Collge, je anaweza kujiungahapo chuoni? matokeo yake ya kidato cha nne ana four ya 28 ila masomo ya science amefaulu geography tu kwa alama D
mkuu naomba ni- pm namba yako ya simu. USIPUUZE.Duh!Hongera kwao,sisi wengine hata kama tuna nia ya kusoma tutaishia getini tu,pesa ngumu!Dah,huu ni mwaka wa 4 sasa nazunguka na Division II yangu.Tanzania balaa tupu
Nenda kasome water supply and sanitation engineering akika utojutaNahitaji course yenye calculation za kutosha je ni cousre gani ambayo ina calculation nyingi?
Ahsante sana vp upande wa ajira upoje ?Nenda kasome water supply and sanitation engineering akika utojuta
maradhi=malaziKwa Chuo cha Maji, mikopo inatolewa na Water Trustee Fund. Wanafunzi wanaopewa hela ya kula ni walioletwa na Serikali.
Hawa ni wale ambao wakati wapo kidato cha nne, walichagua kwenda Vyuo vya Ufundi badala ya Form 5. Wanafunzi hawa wanapewa hela ya kula (Kwa siku Tsh 6,000) kila mwezi, wanapewa maradhi bure na Chuo, na Hela ya field.
Tar 30 mwez wa 8 kma cja koseaNaomba kuuliza mwisho Wa maombi ni mwezi wa ngapi?
I mean maombi ya chuoTar 30 mwez wa 8 kma cja kosea
Masomo kwa mwaka 2017/18 yataanza mwezi wa 10 tarehe 30. Deadline ya kutuma maombi ni mwezi wa Tisa.Naomba kuuliza mwisho Wa maombi ni mwezi wa ngapi?
Je ukiwa na F ya phyz unaweza kujiunga Mimi nimepata ivi kwa masomo ulyosema apo
Math C
Bios C
Geo C
Chem D
Phyz F
Je,naweza kujiunga direct
Vip mkopo wake mkuu apoUtaweza kujiunga direct course za Water Lab, Hydrology au Hydrogeology.
Tumeweka hapo juu document ya Application za mkopo. Utaisoma vizuri na kuijaza, kisha utaipitisha katika ofisi za serikali ya mtaa na mahakamani. Pia, utahitajika kuambatanisha viambatanisho vyote vya kusuport application yako ya mkopo.Vip mkopo wake mkuu apo
Kwa matokeo haya ni vema nisomee kozi gani hapo ambayo ni marketable!
Chemistry B
Engineering Science C
Basic Mathematics C
English C
Kiswahili C
Geography C
Surveying D
Architectural Drawing D
Building Construction D
Na mkopo vipi?
Nashukuru sana,tukijaaliwa nitakuja wiki ijayo!Soma Water Supply and Sanitation Engineering kwakua una background nzuri ya Construction, A. Drawing and Eng. Science. Kwa ushauri zaidi tafadhali tunaomba uje Chuo cha Maji.
Ahsante mkuu ngoja tu applyTumeweka hapo juu document ya Application za mkopo. Utaisoma vizuri na kuijaza, kisha utaipitisha katika ofisi za serikali ya mtaa na mahakamani. Pia, utahitajika kuambatanisha viambatanisho vyote vya kusuport application yako ya mkopo.
Habari wana jukwaa.
Chuo cha Maji kinapenda kutangaza nafasi za masomo katika ngazi ya certificate na diploma kwa mwaka wa masomo 2017/18.
Courses zitolewazo katika chuo hiki ni:
Course zote tajwa hapo juu ni za Miaka Mitatu kwa ngazi ya Diploma.
- Water Supply and Sanitation Engineering
- Irrigation Engineering
- Water Quality and Laboratory Technology
- Hydrogeology and Water Wells Drilling na
- Hydrology and Meteorology.
Jinsi ya ku-apply:
Kutokana na tamko la NACTE la tarehe 10 May 2017, maombi yote yanatakiwa yafanyike moja kwa moja katika chuo husika. Hivyo, form za kujiunga zinapatikana katika website ya chuo: http://www.waterinstitute.ac.tz/uploads/documents/en/1494505610-INVITATION OF APPLICATIONS FOR DIRECT ENTRY ADMISSION TO ORDINARY DIPLOMA PROGRAMS 2017-2018.pdf na http://www.waterinstitute.ac.tz/uploads/documents/en/1494488041-WATER INSTITUTE APPLICATION FORM 2017-18.pdf
Masomo yataanza Tarehe 30 October 2017.
Mkopo kutoka Chuo cha Maji
Chuo cha Maji pia kwa kushirikiana na The Registered Trustees of Water Technician Fund na wadau wengine mbalimbali, kinatoa Mikopo pia kwa wanafunzi wapya na wanaoanza masomo katika ngazi ya Diploma na Certificate. Mikopo inaweza kua moja kati ya Ada ya mwaka, Pesa ya kujikimu (Chakula) au Maradhi.
Form za kuapply mikopo zilianza kutolewa kuanzia tarehe 24 Aprili 2017 na mwisho wa kupokea fomu ni tarehe 30 Agosti 2017 saa 10:00 Jioni (kumi kamili).
Wanawake/wasichana wanahimizwa sana ku-apply.
Huduma za Hostel
Chuo kinatoa huduma za maradhi kwa baadhi ya wanafunzi kwa kufuata vigezo vya umbali kutoka nyumbani, jinsia, na disabilities. Wanafunzi ambao wana ndugu Dar es Salaam au wanaweza kupanga nyumba jirani na chuo wanahimizwa kukaa nyumbani au kupanga nje ya maeneo ya Chuo.
Form unaweza kuzituma kwa njia ya Posta au ukazileta moja kwa moja chuoni.
Chuo kipo Dar es Salaam, Ubungo, barabara ya