Nafasi za masomo katika chuo cha maji

mdogo wangu amesoma diploma ya IT katika Chuo cha Sinon Collge, je anaweza kujiungahapo chuoni? matokeo yake ya kidato cha nne ana four ya 28 ila masomo ya science amefaulu geography tu kwa alama D
 
Kwa Chuo cha Maji, mikopo inatolewa na Water Trustee Fund. Wanafunzi wanaopewa hela ya kula ni walioletwa na Serikali.

Hawa ni wale ambao wakati wapo kidato cha nne, walichagua kwenda Vyuo vya Ufundi badala ya Form 5. Wanafunzi hawa wanapewa hela ya kula (Kwa siku Tsh 6,000) kila mwezi, wanapewa maradhi bure na Chuo, na Hela ya field.
maradhi=malazi
 
Vip mkopo wake mkuu apo
Tumeweka hapo juu document ya Application za mkopo. Utaisoma vizuri na kuijaza, kisha utaipitisha katika ofisi za serikali ya mtaa na mahakamani. Pia, utahitajika kuambatanisha viambatanisho vyote vya kusuport application yako ya mkopo.
 
Kwa matokeo haya ni vema nisomee kozi gani hapo ambayo ni marketable!

Chemistry B

Engineering Science C

Basic Mathematics C

English C

Kiswahili C

Geography C

Surveying D

Architectural Drawing D

Building Construction D

Na mkopo vipi?

Soma Water Supply and Sanitation Engineering kwakua una background nzuri ya Construction, A. Drawing and Eng. Science. Kwa ushauri zaidi tafadhali tunaomba uje Chuo cha Maji.
 
Ufahulu huu vipi kiongozi, kozi ya water laboratory kuanza certificate..?
Bios - C
Chemi - D
Geog - D
Math - E
Eng - D
Kiswa - B
 
Tumeweka hapo juu document ya Application za mkopo. Utaisoma vizuri na kuijaza, kisha utaipitisha katika ofisi za serikali ya mtaa na mahakamani. Pia, utahitajika kuambatanisha viambatanisho vyote vya kusuport application yako ya mkopo.
Ahsante mkuu ngoja tu apply
 
Habari wana jukwaa.
Chuo cha Maji kinapenda kutangaza nafasi za masomo katika ngazi ya certificate na diploma kwa mwaka wa masomo 2017/18.

Courses zitolewazo katika chuo hiki ni:
  1. Water Supply and Sanitation Engineering
  2. Irrigation Engineering
  3. Water Quality and Laboratory Technology
  4. Hydrogeology and Water Wells Drilling na
  5. Hydrology and Meteorology.
Course zote tajwa hapo juu ni za Miaka Mitatu kwa ngazi ya Diploma.

Jinsi ya ku-apply:
Kutokana na tamko la NACTE la tarehe 10 May 2017, maombi yote yanatakiwa yafanyike moja kwa moja katika chuo husika. Hivyo, form za kujiunga zinapatikana katika website ya chuo: http://www.waterinstitute.ac.tz/uploads/documents/en/1494505610-INVITATION OF APPLICATIONS FOR DIRECT ENTRY ADMISSION TO ORDINARY DIPLOMA PROGRAMS 2017-2018.pdf na http://www.waterinstitute.ac.tz/uploads/documents/en/1494488041-WATER INSTITUTE APPLICATION FORM 2017-18.pdf

Masomo yataanza Tarehe 30 October 2017.

Mkopo kutoka Chuo cha Maji

Chuo cha Maji pia kwa kushirikiana na The Registered Trustees of Water Technician Fund na wadau wengine mbalimbali, kinatoa Mikopo pia kwa wanafunzi wapya na wanaoanza masomo katika ngazi ya Diploma na Certificate. Mikopo inaweza kua moja kati ya Ada ya mwaka, Pesa ya kujikimu (Chakula) au Maradhi.
Form za kuapply mikopo zilianza kutolewa kuanzia tarehe 24 Aprili 2017 na mwisho wa kupokea fomu ni tarehe 30 Agosti 2017 saa 10:00 Jioni (kumi kamili).
Wanawake/wasichana wanahimizwa sana ku-apply.

Huduma za Hostel

Chuo kinatoa huduma za maradhi kwa baadhi ya wanafunzi kwa kufuata vigezo vya umbali kutoka nyumbani, jinsia, na disabilities. Wanafunzi ambao wana ndugu Dar es Salaam au wanaweza kupanga nyumba jirani na chuo wanahimizwa kukaa nyumbani au kupanga nje ya maeneo ya Chuo.

Form unaweza kuzituma kwa njia ya Posta au ukazileta moja kwa moja chuoni.
Chuo kipo Dar es Salaam, Ubungo, barabara ya
 
Back
Top Bottom