Nafasi za masomo katika chuo cha maji

Nafasi za masomo katika chuo cha maji

Sio maradhi ni malazi, nyooshi kiswahili.

maradhi ni ugonjwa, so kuna ukakasi kila nikisoma maradhi instead ya malazi
 
mkuu vipi foundation course huwa mnatoa kwa yule ambae ana C na D mbayo,ni ya phy na math? na ada yake ni kiasi gani na inaanza lini?
 
mkuu vipi foundation course huwa mnatoa kwa yule ambae ana C na D mbayo,ni ya phy na math? na ada yake ni kiasi gani na inaanza lini?
Mkuu itakuwa unamaanisha Foundation course kwa mtu asiye na D au C in math au Phys... et
 
nina mdogo wangu ana C ya phy na D ya math mengine ana E hana F matokeo ya 2013
Kama ana cheti cha ufundi veta level 3 anaambatanisha na hicho cha form anaweza kupata nafasi..
Maana nimeona katika lile tangazo lao.
 
Na vijana waliosomea art wanaweza jiunga na cozi gani hapo chuon
 
Na vijana waliosomea art wanaweza jiunga na cozi gani hapo chuon
Mkuu kwa jinsi nilivyocheck lile Tangazo lao.. watu wa art hawahitajiki.. wanachukuliwa waliosoma sayansi tu na kufaulu
 
MKUU namshukuru aliyeleta hizo taarifa za CHUO cha maji ila hayuko current na entry qualification mpya, hizo za kuwa na C moja ni za ZAMANI. Kwasasa ili ujiunge unatakiwa uwe na kuanzis D NNE tu kama NACTE wanavyotaka ila D tatu ziwe combination za PCM,PCB,PGM,CBA na CBG na D ya NNE liwe somo lolote ila lisiwe LA dini tu
Mkuu nilienda wame kataa wanasema Mathe lazima upate hata D kwa couz zote
 
Kwa matokeo haya o level math B chemistry B+ biology B physics C...na advance phy D chem D math E je possibility ya kupata Chuo cha Maji bachelor ipooo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Courses zote tunazotoa zinahitaji at least D ya Mathematics katika matokeo yako ya form 4. Kwa ufahuru wako, hapana Itashindikana.

Kama bado una ndoto za kuja kusoma Diploma Chuo cha Maji, unaweza kujaribu kurudia Mtihani wa Mathematics na ku apply tena.
 
Matokeo ya o level ni phy C math B chem B+ biology B Geo C na advance ni.......
Phy D
Chem D
math E mwaka 2017
Naweza pata nafasii ya kusoma bachelor ya water resources&irrigation eng...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom