Nafasi za masomo katika chuo cha maji

Nafasi za masomo katika chuo cha maji

Mkuu Chuo cha Maji batch 3 lin..? Wengne tumeahrisha kwenda vyuo vingine tumetega hapo...mnaongeza ongeza mda wa kutuma maombi mara august 20, ikaja august 30, sa hv september 20...itastukia mmefika november 20
 
Naona kutoka na muhula wao wa masomo, maana unaanza Oct 30
 
Nina ufaulu wa
Phys-F
Math-F
Chem-F
Bios-D
Geog-D
Eng-C
Kisw-C
Hist-D
Civ-D
Je naweza kujiunga na course gan hapo.
 
Back
Top Bottom