Habari,mdogo wangu matokeo yake ya o-level ni haya :-
1.Mathematics -B
2.Book keeping -A
3.History -C
4.Kiswahili -D
5.Geography -D
6.English -D
7.Commerce -D
8.Biology -D
9.Civics -D
1.Je,akiwa na :-
-certificate in PC maintainace and network engineering(Veta-kipawa) anaruhusiwa kujiunga na diploma in water supply and sanitation?
Au
-certificate in maintainace engineering (Bandari college) ataweza kujiunga diploma in water supply and sanitation?
2.Ikiwa haiwezekani,Je ni kozi ipi ya certificate ya mwaka mmoja anatakiwa asome ili aweze kujiunga na Diploma baadae hapo chuo cha maji?
3.Na je kozi hiyo ya cheti akasomee chuo gani?
Nayasubiri majibu ili tujue pa kuanzia