Wa taramu=wataalamAjira zipo coz inchi yetu bado inaitaji wa taramu wa maji kwa wingi
Ufahulu=ufauluUfahulu huu vipi kiongozi, kozi ya water laboratory kuanza certificate..?
Bios - C
Chemi - D
Geog - D
Math - E
Eng - D
Kiswa - B
Mkuu masomo haya yanatolewa shule gani O-level?Kwa matokeo haya ni vema nisomee kozi gani hapo ambayo ni marketable!
Chemistry B
Engineering Science C
Basic Mathematics C
English C
Kiswahili C
Geography C
Surveying D
Architectural Drawing D
Building Construction D
Na mkopo vipi?
Habari,mdogo wangu matokeo yake ya o-level ni haya :-Habari wana jukwaa.
Chuo cha Maji kinapenda kutangaza nafasi za masomo katika ngazi ya certificate na diploma kwa mwaka wa masomo 2017/18.
Courses zitolewazo katika chuo hiki ni:
Course zote tajwa hapo juu ni za Miaka Mitatu kwa ngazi ya Diploma.
- Water Supply and Sanitation Engineering
- Irrigation Engineering
- Water Quality and Laboratory Technology
- Hydrogeology and Water Wells Drilling na
- Hydrology and Meteorology.
Jinsi ya ku-apply:
Kutokana na tamko la NACTE la tarehe 10 May 2017, maombi yote yanatakiwa yafanyike moja kwa moja katika chuo husika. Hivyo, form za kujiunga zinapatikana katika website ya chuo: http://www.waterinstitute.ac.tz/uploads/documents/en/1494505610-INVITATION OF APPLICATIONS FOR DIRECT ENTRY ADMISSION TO ORDINARY DIPLOMA PROGRAMS 2017-2018.pdf na http://www.waterinstitute.ac.tz/uploads/documents/en/1494488041-WATER INSTITUTE APPLICATION FORM 2017-18.pdf
Masomo yataanza Tarehe 30 October 2017.
Mkopo kutoka Chuo cha Maji
Chuo cha Maji pia kwa kushirikiana na The Registered Trustees of Water Technician Fund na wadau wengine mbalimbali, kinatoa Mikopo pia kwa wanafunzi wapya na wanaoanza masomo katika ngazi ya Diploma na Certificate. Mikopo inaweza kua moja kati ya Ada ya mwaka, Pesa ya kujikimu (Chakula) au Maradhi.
Form za kuapply mikopo zilianza kutolewa kuanzia tarehe 24 Aprili 2017 na mwisho wa kupokea fomu ni tarehe 30 Agosti 2017 saa 10:00 Jioni (kumi kamili).
Wanawake/wasichana wanahimizwa sana ku-apply.
Huduma za Hostel
Chuo kinatoa huduma za maradhi kwa baadhi ya wanafunzi kwa kufuata vigezo vya umbali kutoka nyumbani, jinsia, na disabilities. Wanafunzi ambao wana ndugu Dar es Salaam au wanaweza kupanga nyumba jirani na chuo wanahimizwa kukaa nyumbani au kupanga nje ya maeneo ya Chuo.
Form unaweza kuzituma kwa njia ya Posta au ukazileta moja kwa moja chuoni.
Chuo kipo Dar es Salaam, Ubungo, barabara ya kwenda Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Pia unaweza ku-download form zote Tatu hapa katika hii post.
Asanteni na karibuni Sana.

Habari wana jukwaa.

masomo haya hutolewa kwenye shule za sekondari za ufundi hapa Tanzania,shule hizo ni Tanga Technical,Ifunda Technical,Moshi Technical,Iyunga Technical na Mtwara Technical na kama sikosei Bwiru Boys.Mkuu masomo haya yanatolewa shule gani O-level?
Au umejumlisha na ya chuo?
Je ni kozi gani ulisoma?
Nitashukuru niipata majibu
Sawa mkuu mda mwngine tunapitiwaga but nimejfunza kutoka kwakoUfahulu=ufaulu
UNATAKA KUSOMEA NINI MKUUDuh!Hongera kwao,sisi wengine hata kama tuna nia ya kusoma tutaishia getini tu,pesa ngumu!Dah,huu ni mwaka wa 4 sasa nazunguka na Division II yangu.Tanzania balaa tupu 🙁 🙁
HONGERA SANAKwa matokeo haya ni vema nisomee kozi gani hapo ambayo ni marketable!
Chemistry B
Engineering Science C
Basic Mathematics C
English C
Kiswahili C
Geography C
Surveying D
Architectural Draughting D
Building Construction D
Na mkopo vipi?
NI YA SHULE HATA MIMI NILISOMA HAYO NA KUYAFANYIA MTIHANIMkuu masomo haya yanatolewa shule gani O-level?
Au umejumlisha na ya chuo?
Je ni kozi gani ulisoma?
Nitashukuru niipata majibu
shukrani mkuuHONGERA SANA
kozi za uhandisi mkuu.UNATAKA KUSOMEA NINI MKUU
JE UNA SIFA ZA KUSOMA CHUO CHA MAJI? CHANGAMKIA FURSA MKUUkozi za uhandisi mkuu.
ninazo sifa zote!vipi soko la kozi za maji mkuu!JE UNA SIFA ZA KUSOMA CHUO CHA MAJI? CHANGAMKIA FURSA MKUU