mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
i don't thnk xo kwamba zimetoka coz hata kwnye website yao hamna na jesh huwa alifany siri kwenye michakato kama hii.take care when you post thread like this.
Mwaka gani nafasi za kujitolea zimetangazwa kwenye tovuti? Anyway! Why don't you do as instructed and see if its a lie? Sometimes you have to have a little faith and give a trial on what you hear! Ama unaogopa na kwenye ofis za mshaur wa mgambo wa wilaya utapeliwa? Then why not give a trial if you're interested!i don't thnk xo kwamba zimetoka coz hata kwnye website yao hamna na jesh huwa alifany siri kwenye michakato kama hii.take care when you post thread like this.
Samahani mkuu hivi hapo kwenye umri watu wenye degree/shahada itakuaje?
Ni swali zuri!
Mfumo wa JKT upo ivi, mafunzo ni miez 6 Kisha muda wa kuwa kambini ukijitolea ni miezi 3! Baada ya hapo, taasisi kadhaa za serikali ikiwemo JWTZ, TAKUKURU,UHAMIAJI, POLISI, MAGEREZA na ZIMA MOTO huja kwenye kambi za mafunzo kufanya recruitment kwa vijana wahitimu! Ukweli ni kwamba kwa mfumo wa sasa wa uajiri kama una ndoto ya kufanya kazi kwenye taasisi tajwa hapo juu, ni lazima upitie JKT. Kwa ufupi ni kwamba hakuna mwenye elimu ya kutosha (mf: certificate, diploma n.k) anaemaliza mafunzo ya awali JKT kisha anarudi mtaani. Am inside the system and that is my assurance.
eti jamani umri wanabana sana mtu una degree yako na unataka ujitolee itakuaje
sent from my blackberry 8520 using jamiiforums
nackia mafunzo ni magumu mpaka watu wengine wanakufa huko mafunzoni
Bwana
Mtanza Mwenye Nia
Nina ndugu yangu amefeli form four 2012, umri miaka 22.
je? na yeye anaruhusiwa kisheria
Maana sitaki aendelee kumbaki mtaani,
Mwaka gani nafasi za kujitolea zimetangazwa kwenye tovuti? Anyway! Why don't you do as instructed and see if its a lie? Sometimes you have to have a little faith and give a trial on what you hear! Ama unaogopa na kwenye ofis za mshaur wa mgambo wa wilaya utapeliwa? Then why not give a trial if you're interested!
Hapana! Mwombaji anatakiwa asiwe amezidi miaka 23 Wakati wa kuomba!Nina miaka 23 na miezi kadhaa, je nakidhi kigezo cha umri...?
Hapana! Mwombaji anatakiwa asiwe amezidi miaka 23 Wakati wa kuomba!
Habari.
Napenda kuchukua nafasi hii kukutaarifu wewe kijana wa kitanzania kuwa nafasi za kujiunga na JKT (maarufu kama nafasi za kujitolea zimetoka)
Utaratibu upo kama ifuatavyo:
*Nafasi hizi zimetolewa kwa kila mkuu wa wilaya TZ
*Wakuu wa wilaya watazisambaza kwenye ofisi za kata wakitoa idadi elekezi kwa kila kata kama inavyohitajika
*Vijana wataomba kupitia kwa watendaji
Vigezo:
i) Uwe ni mtanzania
ii) Uwe na umri usiozidi miaka 23
iii) Uwe na afya njema
Kwa maelezo mengine fika katika ofisi ya mshauri wa mgambo wa wilaya ambayo inakuwaga ndani ya majengo ya ofisi za mkuu wa wilaya
JKT
Kwa uzalendo, Tujenge Taifa Letu
Hapana! Mwombaji anatakiwa asiwe amezidi miaka 23 Wakati wa kuomba!
jeshi la siku hizi sio jeshi la waliofeli. sera ya jeshi sasa hivi inasema "tunahitaji kujenga jeshi dogo la wasomi na wataalamu.." so kama amefeli arudie shule au afanye mambo mengine
jeshi sio dampo la walifeli.
Uliza kwa faida yako, na mimi nimeuliza kwa faida yangu.
Nadhan tangazo limejieleza wazi! ila kwa msaada nitakujuza tenaHili tangazo ni la lini na nafasi hizo zipo wapi kaka mbona website yao haioneshi kama kuna nafasi za kujitolea mkuu naomba ufafanuzi samahan
when you give an information about anythng to pple just make sure you clarify you informatio don't make uncertainities to it.!ktk jesh hakuna kujaribu huu uzi ni wauongo acha kudanganya wa2 weka real sources na si kuwaambia wa2 wakajaribu