Nafasi za kujitolea JKT kwa vijana

Nafasi za kujitolea JKT kwa vijana

Status
Not open for further replies.
Magereza wametangaza nafasi za ajira kwa wenye shahada na diploma, vp hapo mafunzo ya awali yatakuwa mda gani, afu kwa degree yako je unaweza kufanya kazi mtaani au ofisini directly.

Huwa inakuwa miezi sita hadi nane. Utafanyaje kazi mtaani wakati ukitoka kule unakuwa askari. Nenda tu kama una nia kijana mambo mengine yanahitaji subira kidogo.
 
Wakuu Merengo, Tumbu na Adimu, kwani hamuwezi ku komenti bila ya ku koti?? Mnatupa shida ya kusoma na vi cm vyetu!
 
Mkuu Ngonya huwa inatubid tu quote ili muhusika haweze pata notification ili haweze kujibu hoja au swali,
 
Wakuu Merengo, Tumbu na Adimu, kwani hamuwezi ku komenti bila ya ku koti?? Mnatupa shida ya kusoma na vi cm vyetu!

Ninapo quote huwa inaweka msisitizo zaidi juu ya kile ninachokusudia kuchangia maana humu kuna mada husika pamoja na comments mbali mbali za wachangiaji! Sasa bila ku quote unawezahisi namjibu mtu mwingine kumbe mimi nakusudia kwa mwingine.
 
mwenge1.jpg
TANGAZO

MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAKANUSHA HABARI ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUM KUWA NAFASI ZA VIJANA WA KUJITOLEA ZIMETANGAZWA.

HABARI HIYO IMETUMWA NA MTU ANAYEJIITA MTANZA MWENYE NIA TAREHE 24 SEPTEMBA 2014.

UKWELI NI KWAMBA NAFASI HIZO HAZIJATOLEWA NA TAARIFA HIYO SI SAHIHI, HAKUNA KITU KAMA HICHO.

AIDHA, IFAHAMIKE MATANGAZO YOTE YAHUSUYO JESHI LA KUJENGA TAIFA HUTANGANGAZWA KWENYE TOVUTI YA JKT AMBAYO NI WWW.JKT.GO.TZ . AMA NA MKUU WA JKT KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI.

Chanzo: http://www.jkt.go.tz/component/content/article/165.html
 
TUOCHE UONGO JAMAN TANGAZO TAREHE 25 SEPTEMBA 2014 SI VIZURI KUDANGANYA UMA JAMAN Mtanzania mwenye Nia umekosea sana MAKAO MAKUU YA JESHI LA
KUJENGA TAIFA LINAKANUSHA
HABARI ILIYOTOLEWA NA MTANDAO
WA JAMII FORUM KUWA NAFASI ZA
VIJANA WA KUJITOLEA
ZIMETANGAZWA.
HABARI HIYO IMETUMWA NA MTU
ANAYEJIITA MTANZA MWENYE NIA
TAREHE 24 SEPTEMBA 2014.
UKWELI NI KWAMBA NAFASI HIZO
HAZIJATOLEWA NA TAARIFA HIYO SI
SAHIHI, HAKUNA KITU KAMA HICHO.
AIDHA, IFAHAMIKE MATANGAZO YOTE
YAHUSUYO JESHI LA KUJENGA TAIFA
HUTANGANGAZWA KWENYE TOVUTI
YA JKT AMBAYO NI
Jeshi la Kujenga Taifa . AMA NA MKUU WA
JKT KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI
VYA HABARI.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA
MAKAO MAKUU YA JKT TAREHE 25
 
Aisee???
 
cc Mtanza Mwenye Nia
 
Last edited by a moderator:
jf imevamiwa na wahuni. na ikiendelea hivi itapoteza sifa.
 
Kuna mawili, jamaa kaingiza watu chaka, au kawahi kutoa hili tangazo kabla ya wakati. CC. Mtanzania Mwenye Nia.
 
Last edited by a moderator:
jf imevamiwa na wahuni. na ikiendelea hivi itapoteza sifa.

Hahahahahahahahaa saizi hapa si kuaminika kibisaa inatakiwa tuwe makin na habari zinazotolewa na watu hapa nowdays hiii habari kiukweli imenipa usumbufu sana aisee
 
Kuna mawili, jamaa kaingiza watu chaka, au kawahi kutoa hili tangazo kabla ya wakati. CC. Mtanzania Mwenye Nia.

Nimefikiri kitu kama hicho. Ila kama katoa fake information itakuwa si jambo jema na atapoteza iman kwa watu. Ila upande mwingine nafikiri JKT wanataka wao ndo wawe wakwanza kutoa hii taarifa mda rasmi utakapo fika. Hebu mkuu pita hapa kiidgo
 
Last edited by a moderator:
Ni swali zuri!
Mfumo wa JKT upo ivi, mafunzo ni miez 6 Kisha muda wa kuwa kambini ukijitolea ni miezi 3! Baada ya hapo, taasisi kadhaa za serikali ikiwemo JWTZ, TAKUKURU,UHAMIAJI, POLISI, MAGEREZA na ZIMA MOTO huja kwenye kambi za mafunzo kufanya recruitment kwa vijana wahitimu! Ukweli ni kwamba kwa mfumo wa sasa wa uajiri kama una ndoto ya kufanya kazi kwenye taasisi tajwa hapo juu, ni lazima upitie JKT. Kwa ufupi ni kwamba hakuna mwenye elimu ya kutosha (mf:
certificate, diploma n.k) anaemaliza mafunzo ya awali JKT kisha anarudi mtaani. Am inside the system and that is my assurance.

1.Nyie mlio kwenye hizo system mnamaanisha kwamba taasis tajwa hapo juu hamna mpango na wahitimu wa shahada walio above 23?
2.Mtaajiri tu wa diploma na certificate kwani wengi wao ndo wanakidhi huo umri? asilimia kubwa ya wahitimu wapo kati ya 25 mpaka 28. kwa hiyo wamekosa haki ya kuzitumikia hizo taasis kwa sababu ya changamoto za kiuchumi walizopitia mpaka kuchelewa mashuleni?
3. Hamuoni kua muda mwingi waliupoteza vyuoni hivyo hamtatumia nguvu nyingi kizijenga taasisi zenu kua za kisasa badala ya kuchukua wangi wenye diploma na certificate ili baade waombe kujiendeleza wakiwa kazini badala ya kufanya kazi? na kupeteza rasilimali fedha za kuwadhamin masomoni wakati tayari serikali imesomesha vijana wengi kwa mikopo wasinge omba tena hizo pesa.
4.Kama mnajua kua watatutumia vyeti vya form six ila baadae wakija huko watatoa vya degree hamuoni kua mnajidhalilisha kama sio kuwa sumbua watu kwa kuwepa masharti ya ajabu ya kuviziana?
5.Hivi mnajua kua 50% wanakuja kwa rushwa na 40% kwa kujuana na iliyobaki ndo waliobahatisha? hatuwezi kuleta ushahidi hapa kwa sababu jf sio chombo cha sheria ila ni jukwa la habari mnazopaswa kuzichunguza nyie mlio kwenye system. na pccb ndio waliofundishwa kukamata kwa ushahidi kwa vigezo wanavyo vijua.
6. Kila anayehitaji nafasi hizo anapokumbana na mazingira ya kutoa rushwa hana budi kufanya hivyo kwa anahitaji nafasi na asipofanya hivo haipati. Ndio maana jeshi la zamani lilikua likitafuta watu wenye sifa za kuingia jeshini lakin sikuhizi watu ndio wanatafuta sifa za kuingia jeshini kama hana anatengeneza. unakuta mjeshi nae anakimbia vibaka usiku mpaka akaite wenzake yaani tofauti kati ya mwenajesh na raia siku hizi zimekua ni magwanda tu kivua hana lolote labda wale wavunja matofali uwanja wa taifa wengine jipangeni please mnatuabisha japo nalipenda sana jeshi letu.
 
Hiii nayo ni point lakin kwa taarifa tu JKT wamekanusha taarifa iliyotolewa na mtanzania mwenye nia mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom